Ahsante, mimi nilitoka kapa nikawa najiuliza kitu gani hiki!, ikabidi nijinyamazie nisiulize nikaja kuonekana mshamba 🤣🤣🤣🤣🤣Asali
Ni nini hii mkuu!?matikiti festival 😂😂
Kuijua hiyo ni hadi uwe ulikulia kijijini.Ahsante, mimi nilitoka kapa nikawa najiuliza kitu gani hiki!, ikabidi nijinyamazie nisiulize nikaja kuonekana mshamba
Hadi sasa mama yangu hupika kande kwenye chungu.Home is best..View attachment 2013758
Nikiangalia picha zako bila ule mkono nahisi kama hazijakamilika!
Flying termites(mchwa wanaoruka)* Nje ya mada*
Jamani naomba kujua kumbikumbi wanaitwaje kwa kiingereza.
The water. Unywe ya moto sio yabaridi dear.
Asante sana mr.Flying termites(mchwa wanaoruka)