Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Mabonge wote karibuni kitu yenu pendwa😉😉😉
Mkuu kwema..mi nipo,mihangaiko tu mzee baba.Mkuu niaje! Habari za kupoteana?
Anakula kitoweo kibichi, yaani bado freshi huku kinacheza cheza
Nauona UROJO.
Kuna visivyozeesha maini? Ndio navitaka hivyo.. Maana ini ndo kila kitu kwenye engineKwa wale wasiopenda kuzeeka haraka hii ni list ya vyakula ambayo inapunguza aging process kwa kiwango kikubwa na kukufanya uonekane kijana hata kama una miaka mingi.
Pia list hii ni nzuri sana katika kuzuia cancer.
View attachment 1998174
Mi nipo poa pia, nazungukia mitaa ilee...Bloom

Kwa wale wasiopenda kuzeeka haraka hii ni list ya vyakula ambayo inapunguza aging process kwa kiwango kikubwa na kukufanya uonekane kijana hata kama una miaka mingi.
Pia list hii ni nzuri sana katika kuzuia cancer.
View attachment 1998174
🤗🤗🤗sawa Mzee wa Chura