Sawa. Ila "mayonaiz"
Mimi nimedoea tu kuna mdada hapa nimemkuta ndio kaletewa...sio mlaji mayonaiz sana labda iwe kwny salad kidogoSawa. Ila "mayonaiz"
Yaani we unampango nihamie kwako then unifukuze
Sawa. Ila "mayonaiz"
Unapata shape kama ya miss natafutakwani mkuu ukila mayonaiz unahisi kama unakula nini?
Cupchino hiyo
Twende tukanyweCupchino hiyo
Hapo unaweza kuta MTU anakula hivo lkn kama msumariWatu mnakula vizuri
Ila huu Uzi nimeamini watu wasemayo kwamba wanaume wanajipenda na ni wachoyo sana kwenye kula, yaani Uzi umejaa wanaume tu wakipost vyakula vizuri na wengi sana wakionekana wako vinakouzwa hivo vyakula na sio nyumbani kwa wife.. Hapo unakuta wife anashindia ugali na matembere mwanaume nje anapiga mbuzi choma nusu na mazagazaga kibaowanaume Mungu anawazoom..
Aaaah mbona humu wanawake wapo wengi wakiongozwa na missyroseIla huu Uzi nimeamini watu wasemayo kwamba wanaume wanajipenda na ni wachoyo sana kwenye kula, yaani Uzi umejaa wanaume tu wakipost vyakula vizuri na wengi sana wakionekana wako vinakouzwa hivo vyakula na sio nyumbani kwa wife.. Hapo unakuta wife anashindia ugali na matembere mwanaume nje anapiga mbuzi choma nusu na mazagazaga kibaowanaume Mungu anawazoom..
Ni wachacheAaaah mbona humu wanawake wapo wengi wakiongozwa na missyrose
Mwanamke na mapishi ni samaki na majiHujui kupika?!