Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
DuhMDAU kwenye Gemu ya Zege kumbe kitambo! Hongera.
![]()

Mkuu umefukua picha yangu ya zege enzi hizo masomo yananinyanyasa sana.
DuhMDAU kwenye Gemu ya Zege kumbe kitambo! Hongera.
![]()

Ugonjwa wangu huu.
Cjawai kuchoka kula nyama abadan!Lunch View attachment 1954632View attachment 1954633
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huey Freeman... preach!I know naweza kuwa naingilia issue personal lakini nisamehe tu. Sio vizuri ukiacha chakula hivyo. Pakua unachoweza kumaliza. Hata kama hupakui wewe basi punguza kabla hujaanza kula.
Sio tabia nzuri kupakua chakula usichoweza kumaliza.
Sorry.
Huyo mdada kwao mkoa gani?Unadhani anaelewa basi!
Nilifanya tu kufunga,japo ananiona nina roho mbaya ila bora iwe hivyo.
Nilivyoona anatapanya mno ikabidi unga,mchele,maharage nigawe gawe kwa wahitaji,chakula store kikabaki kidogo.
Siyo mara zote namanage kupima pima, sometimes namuachia funguo yaani nikirudi jioni nakuta chakula cha mchana kimejaa,na usiku amepika kingine.
Chief hii tabia sio nzuri hata kidogo!!















Vyakula vya jamii ya watu kutoka Pakistan, Bangladesh, India, tatizo lao wanaweka Mafuta mengi
Matunda+ dagaa mchanga==mlo wa 3/4
Mi ningependa hivyo vidagaa hapo juu. Ila huo mchanganyiko, mh!