Uzi wa vyakula tu

Mam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!
I wiiiiish!!!!😛😛

Mi hata sijawahi kujaribu maana naona kama ntafail tu somewhere 😒😒

Question...kwenye coat yako huwa unatumia breadcrumbs pia??? Maana nayo huwa inachangia sana kuongeza crunchiness.
Unaanza na unga, mayai alafu ndo una-dip kwenye breadcrumbs.
 
Mam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!
embu pitia kweny hii page ya uyu bidada niliona katoa maelekezo mepesi tu jinsi ya kutengeneza hao kuku

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…