Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Mkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapa😁😁😁
Mkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapa😁😁😁
Siyo lazima wote tule sembeMkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapa![]()

Nataka nikuseme hadi uache kula Sembe😄😄😄Siyo lazima wote tule sembe![]()
Sembe siachi ng'oo.Nataka nikuseme hadi uache kula Sembe![]()
Sembe siachi ng'oo.
Nina mpango nianze kula tena ule wa kuloweka.
Ohhhh...na nyie mmeanza kula vyakula vyetu vya kimasikini 😁Tozo zimetufikisha ukuView attachment 1903083
Saladi hiyo hatarisana sana umkute mpishi aijuilie mixer nyama.unaweza kula ugali Dar mpk Moro.
Najua,na mara nyingi maeneo ya jeshi.huikuti sokoniTatizo ni konokono. Inalimwa kwenye maji.