Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,135
Wanadanganyana hapa😂😂😂Wazee wa Mastory ya Town, hapa ndo mastory ya kwenye vijiwe vya kahawa yanachakatwaView attachment 2164458
Wanadanganyana hapa😂😂😂Wazee wa Mastory ya Town, hapa ndo mastory ya kwenye vijiwe vya kahawa yanachakatwaView attachment 2164458
Wakati tunapika Sambusa za Nyama na shoga zangu, mmoja akatupa story ya Mama mmoja na Mumewe,
Basi Mume mtu alikua anachepuka na Binti mmoja akampangia nyumba na gari ya kutembelea, bibiye kusikia hayo akatuma Wahuni wamfanyie vitendo vya kudhalilisha yule binti, wahuni walimteka wakamfanyia mambo machafu huku wanamrekodi, binti aliporudi nyumbani akampigia simu Mwenza wake na kumueleza alichofanyiwa na watu hao wasiojulikana kisha akajitoa uhai,
Ilikua ni huzuni kubwa kwa Mzee yule, alichanganyikiwa, aliomba kustaafu, akawa mtu wa Pombe na kulala Bar, Bibiye nafsi ikamsuta, Roho ikamuuma, badala ya kujenga alizidi kubomoa, basi na yeye akatafuta faraja nje, akaanza kuchepuka na Kijana wa shoka, Penzi halikufika Mbali yule Kijana akamfia kifuani wakiwa Hotelin, kumbe alikua ana tatizo la Moyo,
Mnaweza kuimagine Mtu anakufa ukiwa nae chumbani, Kitandani, Uchi,
Bibiye akapata ujasiri, akavaa haraka haraka na kumfunika Marehemu kisha akatoroka na kurudi nyumbani kwake akiamini ameshinda hadi siku ya pili Polisi walipogonga kwenye mlango wao na kumwambia yupo chini ya Ulinzi kwa kosa la Mauaji,
Cameras za Hotelini zilimuumbua,
Wakati Kesi inaendelea na Mumewe alipoanza kumlaumu kwa tendo la kuchepuka hadi kuua ndipo na yeye akatoa ya Moyoni kwa kuelezea kukosa uaminifu kwa Mumewe kukasababisha yeye afanye kitendo cha Kinyama kwa Binti yule hadi kupelekea Umauti.
Nakumbuka nilibaki mdomo wazi hadi Sambusa nilizokua nachoma zikaungua![]()
Kwa nini alikuwa anafanya hivyo?Nmb wami road Morogoro mjini 2017
Nikiwa kwa fundi viatu saa kumi jioni nikiwa nashona kobazi zangu za kuingia venue kesho asubuhi nilipata story zifuatazo
Stori 1
Bwana pale town Kuna tajiri mmoja ni tajiri kweli ila sasa ana mfanyakazi wake wa mda mrefu sana housigelo na anamlipa hela nzuri tu atawabadilisha wote ila yeye hambadilishi unadhani ni mpenzi wake ? No hapana
Ni hivi jamaa akienda chooni kunya anakunya pembeni yaani pembeni ya sink la choo lile ambalo unachuchumaa kama ni choo cha kukaa yeye hatokikalia atasogea pembeni huku atakunya na mfanyakazi huwa ndio anasafisha
Hizi pesa hizi zina mambo
Nitaendelea na story 2 .....
.
Dah unazingua sanaNakumbuka mwaka 2013 nimeshuka kwenye ndege jijini Mwanza nilienda kikazi. Nilifikia JB Belmont Hotel ya Mwanza
Basi yule dereva taxi aliye kuwa ananiendesha akawa ananiambia " Unajua Jb Belmonte Ni ya Mkapa Na Kikwete ?
Ile J ni Jakaya na B ni Benjamin.
Nililewa bila kunywa
Utajiri wa matesoNaleta moja ya tajiri mmoja aliekuwa anaitwa Rwabizi..huyu jamaa alikuwa ni tajiri kiasi pale bukoba mjini...na alikuwa amefungua miradi kadhaa zikiwemo pub maarufu...utajiri wake aliutoa kwa mganga na alipewa sharti moja tu kwamba maisha yake yoote asijisaidie haja yake ndogo au kubwa chooni....kwa hiyo jamaa kila alipokuwa akibanwa na haja alikuwa akiwasha gari yake na kuelekea porini...sasa siku moja watu walimuona akinya porini kwa hiyo ikawa ndiyo story kwenye kale kamji ka bukoba...ili kuondokana na aibu hii ilibidi jamaa ajiondoe uhai..kwa story za vijiweni inasemekana jamaa walimkuta amejikatakata na viwembe hotelini huku amefariki.....
Wakulungwa hawafai, pambana mwenyewekuna jamaa yangu mmoja aliniambia tufanye partnership kwenye biashara fulani lakini nikawa naingiwa wasiwasi mpaka leo
Inawezekana presha ndio imemuondoaYametokea jana uyole mbeya hapa,mama ntilie kaja kutuletea supu ilikuwa jion ile anageuka tu kadondoka hapohapo wamemgeuze wanakuta keshajifia....wanachozungumza watu sasa eti alikuwa anatumia ARV's so watumiaji eti hawaumwi sikuhiz hundondoka tu au kufa kimyakimya.Sad
Ukimfanyia fitina mtu, jipange we na familia yako namna ya kujibu makombora yatakayokufuata; kazi zipo tu, na kabla ya wewe walikuwepo wengine. Na ukiaribikiwa, unafukuzwa kazi anapewa mwingine. Busara ni muhimu zaidi katika maeneo ya kaziDown town,Samora ave
Nimeingia Holland house Kuna branch ya CRDB pale,nishafanya muamala Kuna mtu namsubiri anipitie pale,nikatoka nje nitafute sehemu ya kuomngoja,kwenye jengo Hilo Hilo nikaona mzee mmoja ameketi kwenye kiti pembeni Kuna benchi,nikasigea,nikamsalimia nikaomba kukaa pale akasema Hanna Shida,nilipiga nae story nikagundua yeye Ni mzoefu pale.Ghafla nikamuona Mzee mmoja wa makamo mrefu,upande wa pili kwenye jengo la Audit ,anaenda anarudi,anaenda anarudi,anachungulia kidogo mle ofisini haiingii lakini anaenda anarudi...Yule mzee ananiambia unamuona yule baba?nikamwambia ndio,akasema,Yule bwana alikuwa mtu mzito kwenye hiyo ofisi,alikuwa Ni mkaguzi wa mahesabu,Sasa akapata safari ya kaenda kukagua kusini huko mtwara,akakuta wamefanya madudu,akaandika report mbaya wale jamaa wakamuomba Sana wakamsihi asifanye hivyo awasamehe hakuelewa,Basi Siku kamaliza ukaguzi wake anarudi Dar kufika mahali kamwambia dereva simama nikachimbe dawa,dereva akasimama,boss kashuka na makabrasha kaanza kuchana chana kila kitu tupa huko!dereva kaduwaa,baada ya hapo wakasafiri mpaka Dar,jumatatu alipoingia job yeye anachana tu makaratasi ndio kugundulika amechanganyikiwa,wanandugu wakamchukua kumshughulikia ndio kupata nafuu,Sasa anakuja mpaka ofisini Ila ndio hivyo anaiona ofisi ya Moto anafika mlangoni anachungulia anarudi anachungulia anarudi.
Mzee akawa ananiambia watu wa Mtwara wamemloga huyu wachawi Sana,na ukipata madaraka kuwa muelewa usiwe unabana kupitiliza,pale alivyoandika Ile report mbaya alikuwa anacheza na matonge ya watu wenzie wakamuwahi!
Kwa kweli Moyo wangu ulimuonea huruma Sana Yule mzee Sasa sijui ukweli ukoje kumuhusu Labda wanafanya kazi pale wanaweza jua Vizuri hii habari.
Busara Ni muhimu zaidi katika maeneo ya kazi......hili ndio funzo kuu hapa.....Kuna watu huwa wanajisahau sanaUkimfanyia fitina mtu, jipange we na familia yako namna ya kujibu makombora yatakayokufuata; kazi zipo tu, na kabla ya wewe walikuwepo wengine. Na ukiaribikiwa, unafukuzwa kazi anapewa mwingine. Busara ni muhimu zaidi katika maeneo ya kazi
Kifo chema kuliko Cha kuumwa cancer yenye Maumivu makali.. Apumzike kwa amaniYametokea jana uyole mbeya hapa,mama ntilie kaja kutuletea supu ilikuwa jion ile anageuka tu kadondoka hapohapo wamemgeuze wanakuta keshajifia....wanachozungumza watu sasa eti alikuwa anatumia ARV's so watumiaji eti hawaumwi sikuhiz hundondoka tu au kufa kimyakimya.Sad
Inawezekana alikosea formulaNilihadithiwa na jamaa yangu. Maeneo ya Buguruni kuna jamaa mmoja hivi alitokea maeneo ya Pwani kama sikosei Kisarawe. Mchizi alikuwa choka mbaya alipofika mjini akahustle sana mpaka akafanikiwa akawa tajiri.
Akaenda kijijini kwao kufanya sherehe kama shukrani ya mambo kumuendea vizuri ila yeye aliita kuzika umaskini. Alichokifanya ni kuchimba kama kaburi na kufukia maharage, mahindi, dagaa and the likes. Maana yake ni kuwa hivyo ni vyakula vya kimaskini smh
Akarudi mjini baada ya muda mambo yakaanza kumuendea kombo, kimoja kimoja kikaanza kupotea mpaka akawa apeche alolo kama alivyokuja mjini!!
Alikuwa muuza maziwa maeneo ya MbingaStori za gahawa songea huko sijui nilipigwa kamba kijiweni au vipi maana alisimulia Mzee zipo nyingi ila moja ni hii.
Kuna Mzungu alikua anasafiri na begi la hela wale wenye mashamba makubwa ya kahawa vijijini, Sasa akatembea akadondosha lile begi maana alikua kalifunga kwenye pikipiki nyuma sasa mwamba mmja mbeba mkaa kaliona lile begi kafungua ndani kakuta kuna Ela nyingi sana eti kalichukua kalifunga juu ya mkaa nyuma kwenye baiskeli.
Sasa Mzungu yule kufika mbele akagundua begi halipo akaanza kuludi nyuma chap ghafla akakutana na yule jamaa wa mkaa akamuuliza ilo begi umepata wap jamaa akajibu nimeokota Mzung akauliza ndani kuna nin jamaa akajibu nimeona kuna Ela kama ni zako chukua tu baba jamaa alikua anajibu kwa kuogopa rangi nyeupe Mzungu akamtukana yule Jamaa P*mbu zako mtu mweusi wew utakufa masikini huwezi kuwa tajiri kamwe kampiga na makofi mawili matatu alaf kachukua begi kasepa.
Nilihadithiwa na jamaa yangu. Maeneo ya Buguruni kuna jamaa mmoja hivi alitokea maeneo ya Pwani kama sikosei Kisarawe. Mchizi alikuwa choka mbaya alipofika mjini akahustle sana mpaka akafanikiwa akawa tajiri.
Akaenda kijijini kwao kufanya sherehe kama shukrani ya mambo kumuendea vizuri ila yeye aliita kuzika umaskini. Alichokifanya ni kuchimba kama kaburi na kufukia maharage, mahindi, dagaa and the likes. Maana yake ni kuwa hivyo ni vyakula vya kimaskini smh![]()
Akarudi mjini baada ya muda mambo yakaanza kumuendea kombo, kimoja kimoja kikaanza kupotea mpaka akawa apeche alolo kama alivyokuja mjini!!
Kuna jamaa yangu hapa ananipa story za matajiri,
Anasema kule mbweni kuna jamaa, alikua amelala ndani kwake (sasa sijui alijuaje).
Wakawa wanapita watu wa mnada wa nyumba, jamaa ana pesa sana . Sasa akatoka nje baada ya kusikia wale jamaa wanapiga kelele. Akauliza mnauza nini jamaa wakasema nyumba. Akawauliza iko wapi, wakasema ile kule.
Jamaa akauliza bei, akaambiwa milioni mia,
Eti huwezi amini jamaa hapo hapo akatoa hela, kanunua nyumba. Milioni Mia.
Eti jamani vipi matajiri kwenu huko mbweni.

Bora ningekuwa nazijibu zile pssssssiii psssiiiii za kuitwa kijiweni.
Labda wakulungwa walitaka wanipe story tu za vijiweni mimi nikawafikiria mabaya.
Ona sasa sina cha kuhadisia.
Down town,Samora ave
Nimeingia Holland house Kuna branch ya CRDB pale,nishafanya muamala Kuna mtu namsubiri anipitie pale,nikatoka nje nitafute sehemu ya kuomngoja,kwenye jengo Hilo Hilo nikaona mzee mmoja ameketi kwenye kiti pembeni Kuna benchi,nikasigea,nikamsalimia nikaomba kukaa pale akasema Hanna Shida,nilipiga nae story nikagundua yeye Ni mzoefu pale.Ghafla nikamuona Mzee mmoja wa makamo mrefu,upande wa pili kwenye jengo la Audit ,anaenda anarudi,anaenda anarudi,anachungulia kidogo mle ofisini haiingii lakini anaenda anarudi...Yule mzee ananiambia unamuona yule baba?nikamwambia ndio,akasema,Yule bwana alikuwa mtu mzito kwenye hiyo ofisi,alikuwa Ni mkaguzi wa mahesabu,Sasa akapata safari ya kaenda kukagua kusini huko mtwara,akakuta wamefanya madudu,akaandika report mbaya wale jamaa wakamuomba Sana wakamsihi asifanye hivyo awasamehe hakuelewa,Basi Siku kamaliza ukaguzi wake anarudi Dar kufika mahali kamwambia dereva simama nikachimbe dawa,dereva akasimama,boss kashuka na makabrasha kaanza kuchana chana kila kitu tupa huko!dereva kaduwaa,baada ya hapo wakasafiri mpaka Dar,jumatatu alipoingia job yeye anachana tu makaratasi ndio kugundulika amechanganyikiwa,wanandugu wakamchukua kumshughulikia ndio kupata nafuu,Sasa anakuja mpaka ofisini Ila ndio hivyo anaiona ofisi ya Moto anafika mlangoni anachungulia anarudi anachungulia anarudi.
Mzee akawa ananiambia watu wa Mtwara wamemloga huyu wachawi Sana,na ukipata madaraka kuwa muelewa usiwe unabana kupitiliza,pale alivyoandika Ile report mbaya alikuwa anacheza na matonge ya watu wenzie wakamuwahi!
Kwa kweli Moyo wangu ulimuonea huruma Sana Yule mzee Sasa sijui ukweli ukoje kumuhusu Labda wanafanya kazi pale wanaweza jua Vizuri hii habari.
Very sad!Duuh Sad story