Uzi wa stori za vijiweni

Uzi wa stori za vijiweni

Hata majambazi,huwa wanapanga vizuri mipango yao,wakifanikiwa kufanya tukio,matatizo huja kwenye mgawo,hapo ndipo hata risasi na visasi huanzia.
Tamaa inatakiwa isitutawale
 
Ngoja na mimi niwape moja
siku moja nilienda kukaa kijiwe cha kahawa mji fulani pwani huko nikiwa nangojea baiskeli yangu ipigwe service sikosei nilikuwa form one baiskeli naanza kutumia kwa vile nilipangiwa mbali

Basi pale kijiweni karibu kuna Godown ya magari ya fulani yapo mascania.semi trailer na mabasi ya mkoani basi wakati nimekaa sana pale pakaja gari inaelekea katika ile Godown ikapiga horn getini ikafunguliwa ila ile gari ni ya kifahari imekaa kama noah ivi akafungua kioo kabla hajaingia akapunga mkono huku kijiweni watu nao wakampungia kama kurudisha salamu ni mwarabu

Basi mda kidogo mzee mmoja akaanza unaona ile gari sio noah ya kawaida ile gari inauzwa mil 80 na kitu ni automatic wakawa wanateta pale ila kifupi wanadai kule boss ameparalyze kuanzia kiunoni kushuka mpaka miguuni ile gari iko automatic kila kitu mpaka kushuka anashuka na wheelchair yake kwa kubonyeza tu button mlango unafunguka anaendesha iyo wheelchair yake ni ya umeme

kisa nn mpaka akaparalyse wanasema alikuwa na dereva wake ni mzigua wa huko handeni alikuwa mchapakazi balaa na alioa msichana wa kigunya kama shombe shombe basi kumbe yule boss anatoka nae kimapenzi mke wa msela bwana penzi likakolea jamaa akawa anapigwa route ndefu mara zambia mara congo na pesa nzuri anapata tu ila kupumzika labda miezi mitatu kwa mwaka yuko home kwake na mkewe mingine yote yuko nje na alijenga fasta .Sababu yule boss amle yule mke wa jamaa ila ilienda mpaka jamaa akatonywa na masela yule boss akaja gundua msela kajua boss akatumia pesa kudai kamuibia na kazi akamfuta what next?

Jamaa na mkewe japo alimpenda wakaachana na walikuwa na mtoto mmoja mke akamkimbia maana kazi hana jamaa akarudi kwao Handeni ndo akampiga kipapai yule boss akaparalyse hata mshine haifanyi kazi yaani kuanzia kiunoni mpaka miguuni ni ivyo

kuna mzee alikuwa anaflow mi nasikiliza sijui ni kweli au laah
 
Mke wa mtu sumu; onja mara moja ila usimuhamishe kifikra kutoka kwa mumewe
 
Wakati tunapika Sambusa za Nyama na shoga zangu, mmoja akatupa story ya Mama mmoja na Mumewe,
Basi Mume mtu alikua anachepuka na Binti mmoja akampangia nyumba na gari ya kutembelea, bibiye kusikia hayo akatuma Wahuni wamfanyie vitendo vya kudhalilisha yule binti, wahuni walimteka wakamfanyia mambo machafu huku wanamrekodi, binti aliporudi nyumbani akampigia simu Mwenza wake na kumueleza alichofanyiwa na watu hao wasiojulikana kisha akajitoa uhai,

Ilikua ni huzuni kubwa kwa Mzee yule, alichanganyikiwa, aliomba kustaafu, akawa mtu wa Pombe na kulala Bar, Bibiye nafsi ikamsuta, Roho ikamuuma, badala ya kujenga alizidi kubomoa, basi na yeye akatafuta faraja nje, akaanza kuchepuka na Kijana wa shoka, Penzi halikufika Mbali yule Kijana akamfia kifuani wakiwa Hotelin, kumbe alikua ana tatizo la Moyo,

Mnaweza kuimagine Mtu anakufa ukiwa nae chumbani, Kitandani, Uchi,
Bibiye akapata ujasiri, akavaa haraka haraka na kumfunika Marehemu kisha akatoroka na kurudi nyumbani kwake akiamini ameshinda hadi siku ya pili Polisi walipogonga kwenye mlango wao na kumwambia yupo chini ya Ulinzi kwa kosa la Mauaji,
Cameras za Hotelini zilimuumbua,

Wakati Kesi inaendelea na Mumewe alipoanza kumlaumu kwa tendo la kuchepuka hadi kuua ndipo na yeye akatoa ya Moyoni kwa kuelezea kukosa uaminifu kwa Mumewe kukasababisha yeye afanye kitendo cha Kinyama kwa Binti yule hadi kupelekea Umauti.

Nakumbuka nilibaki mdomo wazi hadi Sambusa nilizokua nachoma zikaungua .
 
Nakumbuka mwaka 2013 nimeshuka kwenye ndege jijini Mwanza nilienda kikazi. Nilifikia JB Belmont Hotel ya Mwanza
Basi yule dereva taxi aliye kuwa ananiendesha akawa ananiambia " Unajua Jb Belmonte Ni ya Mkapa Na Kikwete ?

Ile J ni Jakaya na B ni Benjamin.

Nililewa bila kunywa
 
Dunia ina mombo, tuende nayo kwa utaratibu
 
Nakumbuka mwaka 2013 nimeshuka kwenye ndege jijini Mwanza nilienda kikazi. Nilifikia JB Belmont Hotel ya Mwanza
Basi yule dereva taxi aliye kuwa ananiendesha akawa ananiambia " Unajua Jb Belmonte Ni ya Mkapa Na Kikwete ?

Ile J ni Jakaya na B ni Benjamin.

Nililewa bila kunywa
😂😂😂Baada ya kuona herufi tu, akafanya 'conclusion'
 
Back
Top Bottom