Uzi wa stori za vijiweni

Uzi wa stori za vijiweni

Kuna jamaa alikuwa na kakikundi cha u koz men hakuna kalio la mtu wasilolijua kule mwananyamala kisiwani. Akahamia jamaa mkewe anasondomoko balaa wahuni wakamweka radani lazima wal
ikague kalio.
Sasa jamaa ana jicho moja tu moja lilikufa zamani sana,waliposeti mpango siku hiyo mama katoka zake kuoga anajifuta kwa pozi kumbe dirishani kuna watu wanamchora wameshadindi mbaya wanajibweda senema ya bure.sasa wakati wanachungulia kumbe mumewe anarudi kazini mida ya usiku. Kaona jamaa wamejazana dirishani kwake kuchunguza kwa kuvizia akagundua wanamchungulia wifee.
Akaondoka kinyonge akammwondoa wife pale karibu na darubin wahuni nje bila kujua wamehujumiwa wanasema kesho tutaendelea wakiambiana "masela mungu anafinyanga jamani. Tahamaki kesho imefika kumbe jamaa kashaandaa supoku ya besikeli anavizia na akahakikisha wife anajiachia haswa huku yeye kajibanza kikonani kwa dirisha.
Adui chongo akasogea kama ada ile anaseti jicho aone utupu mnono GHAFLA AKASEMA MAZEE WAMEZIMA TAA,TAHAMAKI KIZA KIMEKUJA NA MAUMIVU.MASIKIO YANAMSIKILIZISHA NYAYO ZA WENZIE ZINAKIMBIA. kumbe kilichozimwa ni jicho sio taa.
MAZEE WAMEZIMA TAA.... CHAI....

OVA
 
Kuna nyingine pande za uswazi fulani jamaa alikua bingwa kweli kweli wa kupiga chasi"chabo" na mbaya zaidi alikua fundi kweli kweli kwa kuadithia anayoyakuta na alikua hajari anaomuongelea na nani na wala hajari nani ataumia na stori za aina hizo.
Ki ukweli watu wengi waliumia sana sema hakukua na namna ya kumfanya huyu bhana anyamaze hivyo watu wakabaki kusema na mioyo yao. Basi bhana siku moja hakua na mahala pa kupiga chabo alikua amekaa tu maskani hana hili wala lile.
Mara paaap akaja kuitwa kuna korabo huku,jamaa akakurupuka sijui ndio alikua na arosto akatoka nduki kuelekea eneo LA mualiko kufika pale jakuta watu wapo makini kweli wakamwita kwa tahadhari asije alibu muvi ile,kufika pale akapishwa ile kucheki ndani,dah alikua bi mdashi wake amechepuka.
Dah, jamaa nusu azimie ndio watu kumtoa eneo LA tukio na ndio ukawa mwisho wake wa mambo ya ucozman
 
MAZEE WAMEZIMA TAA.... CHAI....

OVA
Nenda ilipo Baa ya kulesi uliza saidi kapu la nyege. Alipiga kozi mpaka wahuni wenzie wanaokula nao kozi wakampa mchongo wa mama yake kwenye Baa ya kamanyola tahamaki kakuta mamake analiwa, tena anatobolewa karoti ya jichoni.
 
KIJIWE CHA MTAA

Majambazi wawili walipanga kwenda kuiba kwa tajiri mmoja mtaa wa saba. Walipofika katika hiyo nyumba ya tajiri, jambazi mmoja akamwambia jambazi mwenzi, tuchokonoe huu ukuta ili tuweze kupitisha mkono tufungue kitasa kwa ndani.

Jambazi wa pili akasema sawa; jambazi wa kwanza akachukua nondo na kuanza kutoboa ukuta. Wakati huo wanafanya hayo yote, mle ndani mlinzi wa tajiri alikuwa anawasikiliza tu, akachukua panga kali akalishika mkononi kwa ajili ya kupambana.

Yule jambazi wa kwanza baada ya kumaliza kutoboa ukuta, akaingiza mkono mpaka kwenye kitasa cha ndani akaanza kukitikisa ili kifunguke; katika kukitikisa kile kitasa ,yule mlinzi wa tajiri akaukamata ule mkono wa jambazi na kuuvuta ndani zaidi na kukata kiganja cha mkono wa jambazi. Jambazi hakupiga kelele, akajikaza na kutoa mkono haraka haraka na kuuficha nyuma ya mgongo wake.

Jambazi wa pili akamuuliza mwenzie, vipi umefanikisha kufungua kitasa? Jambazi akamjibu, bado ni kigumu sana, ebu jaribu na wewe kukilegeza. Jambazi wa pili naye akaingiza mkono mpaka kwenye kitasa na kuanza kukitikisa.Mara mkono wake ukadakwa na mlinzi wa tajiri, naye akakatwa kiganja. Jambazi wa pili akawa anapiga makelele kutokana na maumivu aliyoyapata.

Ndipo jambazi wa pili akamwambia jambazi wa kwanza, nimekatwa kiganja cha mkono ebu ona nilivyo. Naye jambazi wa kwanza akamuonyesha mwenzie mkono na kumuambia, hata mimi nimekatwa kiganja, ebu ona. Wote wakawa wanaonyeshana mikono yao ilivyokatwa.

Wote wakawa wanachekana, ikabidi waondoke; na walivyopona wakaenda kuwa omba omba huko mtaani.
 
Hii ni ya kijiweni ni kweli kabisa hii ilitokeaga kwenye baa ya kwa mremi pale buguruni kituo cha zamani cha muhimbili pale wakati huo ile baa inavuma kweli kweli kabla mwenye nayo hajatangulia mbele ya haki na kiwaachia wanae.
Tukio lilikua hivi,kuna majambazi walipanga kwenda kuvamia ile baa kuchukua mpunga ambao ni makusanyo ya mauzo pale baa,sasa wakati wapo chini pale kwenye meza wakipanga jinsi ya kuingia na kutoka mle bila ya bugudha yoyote pembeni alikua amekaa mtu mmoja mwenye mtindio wa ubongo maarufu maeneo ya buguruni.
Wale majambazi walipanga mipango yao wakiwa wa nne pale,kumbe wakati wakipanga hayo yule mwenye mtindio alikua akiwa sikia yote walio ongea. Basi yule mwenye mtindio akainuka taratibu na kupanda ngazi kuelekea kwenye ofisi ya yule mwenye baa akiwa anaweka vizuri mzigo kwa ajili ya kupeleka benki. Basi wakati akielekea kule wapambe wakawa na mzingua hatua moja kufikia mlango hivyo alishapotea kabisa kutoka usawa wa wale majambazi. Bosi akazisikia zile pilika ndogo akatoka akakuwambia mwachieni aje. Baada ya kuingia mle akamwambia hivi"eti wanataka kukuibia"yule bosi hakudharau akamuuliza vizuri nani,akamwambia wale pale basi bosi kafanya kuchungulia akawaona wale watu na alichofanya akapiga siku polisi fasta tu wakafika mana kituo kipo karibu tu.
Walivyofika moja kwa moja wakawaendea kwenye ile meza wakaeka chini ya ulinzi wakasachiwa wakakutwa na bastola mbili,wakachukuliwa fasta kituoni tukio likazimwa hivyo.
Basi kwa lile tukio bosi akatangaza kuwa yule jamaa awe anahudumiwa chochote kile akitakacho hapo baa mpaka atakapokufa na kweli ikawa hivyo alivyofariki ata mtoto wa bosi akawa anafanya hivyo mpaka alivyofariki yule mwenye mtindio wa ubongo.
 
KIJIWE CHA MTAA

Majambazi wawili walipanga kwenda kuiba kwa tajiri mmoja mtaa wa saba. Walipofika katika hiyo nyumba ya tajiri, jambazi mmoja akamwambia jambazi mwenzi, tuchokonoe huu ukuta ili tuweze kupitisha mkono tufungue kitasa kwa ndani.

Jambazi wa pili akasema sawa; jambazi wa kwanza akachukua nondo na kuanza kutoboa ukuta. Wakati huo wanafanya hayo yote, mle ndani mlinzi wa tajiri alikuwa anawasikiliza tu, akachukua panga kali akalishika mkononi kwa ajili ya kupambana.

Yule jambazi wa kwanza baada ya kumaliza kutoboa ukuta, akaingiza mkono mpaka kwenye kitasa cha ndani akaanza kukitikisa ili kifunguke; katika kukitikisa kile kitasa ,yule mlinzi wa tajiri akaukamata ule mkono wa jambazi na kuuvuta ndani zaidi na kukata kiganja cha mkono wa jambazi. Jambazi hakupiga kelele, akajikaza na kutoa mkono haraka haraka na kuuficha nyuma ya mgongo wake.

Jambazi wa pili akamuuliza mwenzie, vipi umefanikisha kufungua kitasa? Jambazi akamjibu, bado ni kigumu sana, ebu jaribu na wewe kukilegeza. Jambazi wa pili naye akaingiza mkono mpaka kwenye kitasa na kuanza kukitikisa.Mara mkono wake ukadakwa na mlinzi wa tajiri, naye akakatwa kiganja. Jambazi wa pili akawa anapiga makelele kutokana na maumivu aliyoyapata.

Ndipo jambazi wa pili akamwambia jambazi wa kwanza, nimekatwa kiganja cha mkono ebu ona nilivyo. Naye jambazi wa kwanza akamuonyesha mwenzie mkono na kumuambia, hata mimi nimekatwa kiganja, ebu ona. Wote wakawa wanaonyeshana mikono yao ilivyokatwa.

Wote wakawa wanachekana, ikabidi waondoke; na walivyopona wakaenda kuwa omba omba huko mtaani.
Wakachekana.
 
Kuna hii nyingine kutoka kitaa,kuna mzee alikua na rafiki yake wakati huo buguruni bado peusi basi yule rafiki wa huyo mzee alimpa kazi ya kumtafutia eneo hapo buguruni.
Yule mzee akamtafutia eneo fresh na akapewa usimamizi wa ujenzi mwanzo mwisho kwa kuwa walikua wanaaminiana sana kipondi hiko. Baada ya nyumba ile kuisha yule jamaa mwenye nyumba akataka akaonyeshwe nyumba yake ilipo,bila ya hiyana akapelekwa fresh kaiona akaanza harakati za kuhamia.
Kilochotokea yule mzee akatumia nguvu za kijemedari za asili ili ampeleke mbele za yule rafiki yake nusu amuue lakini likini lile tukio likashindikana basi kwa hasira yule jamaa nae akajibu mashambulizi inasemekana kwa kishindo sana kwa kumshambulia yule mzee na kizazi chake chote wawe machizi au wakati mgumu duniani.
Kweli yule mzee akawa chizi mpaka anakufa lakini tunacho shuhudia watoto wote na waliofariki walipitia katika vipindi hivyo hivyo yani waliobaki wapo watano wasichana wawili na wavulana watatu. Kati ya hao wavulana wawili machizi kabisaaa mmoja mteja kabisaa anayejaribu kuacha lakini anashindwa na wale wanawake wote wana mwezi mchanga.
 
KIJIWE CHA MTAA

Majambazi wawili walipanga kwenda kuiba kwa tajiri mmoja mtaa wa saba. Walipofika katika hiyo nyumba ya tajiri, jambazi mmoja akamwambia jambazi mwenzi, tuchokonoe huu ukuta ili tuweze kupitisha mkono tufungue kitasa kwa ndani.

Jambazi wa pili akasema sawa; jambazi wa kwanza akachukua nondo na kuanza kutoboa ukuta. Wakati huo wanafanya hayo yote, mle ndani mlinzi wa tajiri alikuwa anawasikiliza tu, akachukua panga kali akalishika mkononi kwa ajili ya kupambana.

Yule jambazi wa kwanza baada ya kumaliza kutoboa ukuta, akaingiza mkono mpaka kwenye kitasa cha ndani akaanza kukitikisa ili kifunguke; katika kukitikisa kile kitasa ,yule mlinzi wa tajiri akaukamata ule mkono wa jambazi na kuuvuta ndani zaidi na kukata kiganja cha mkono wa jambazi. Jambazi hakupiga kelele, akajikaza na kutoa mkono haraka haraka na kuuficha nyuma ya mgongo wake.

Jambazi wa pili akamuuliza mwenzie, vipi umefanikisha kufungua kitasa? Jambazi akamjibu, bado ni kigumu sana, ebu jaribu na wewe kukilegeza. Jambazi wa pili naye akaingiza mkono mpaka kwenye kitasa na kuanza kukitikisa.Mara mkono wake ukadakwa na mlinzi wa tajiri, naye akakatwa kiganja. Jambazi wa pili akawa anapiga makelele kutokana na maumivu aliyoyapata.

Ndipo jambazi wa pili akamwambia jambazi wa kwanza, nimekatwa kiganja cha mkono ebu ona nilivyo. Naye jambazi wa kwanza akamuonyesha mwenzie mkono na kumuambia, hata mimi nimekatwa kiganja, ebu ona. Wote wakawa wanaonyeshana mikono yao ilivyokatwa.

Wote wakawa wanachekana, ikabidi waondoke; na walivyopona wakaenda kuwa omba omba huko mtaani.
kwamba jambazi wa pili hakuona hata damu
 
Back
Top Bottom