Uzi wa kuweka bidhaa kwa mnada

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,659
20,995
Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa yake hapa na wanunuzi watatupia kiasi walichonacho kwa bidhaa husika.

N. B: Muuzaji ataweka bei ya kianzio kwa uhitaji wake na wahitaji watatiriri kwa kile kiasi walichonacho cha offer zao, mwishowe muuzaji atachagua kiasi cha bei kinachomfaa na kuifunga biashara.
 
Vipi kuhusu utapeli..?
Haimaanishi ya kwamba mnunuzi atalipa fedha mtandaoni hapana, baada ya mnunuzi kuipenda bidhaa watawasiliana na kulipana nje ya hadhara hii, wao wenyewe,baada ya mnunuzi kuiona bidhaa (physical) na kuridhika nayo.
 
Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa yake hapa na wanunuzi watatupia kiasi walichonacho kwa bidhaa husika,
N. B, muuzaji ataweka bei ya kianzio kwa uhitaji wake na wahitaji watatiriri kwa kile kiasi walicho nacho cha offer zao, mwishowe muuzaji atachagua kiasi cha bei kinachomfaa na kuifunga biashara.
Uhalali na ubora wa bidhaa itakuwaje kwenye uhakiki? Huoni watu wanaweza kuingia matatizoni kwa kuuziwa vitu vya wizi ama kupata hasara kwa kununua bandia au vibovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kutakuwa na wauzaji genuine na wanunuzi wazuri basi ni jambo jema ila watu wengi sio wema hata China na eBay bado majizi yapo
 
Kama kutakuwa na wauzaji genuine na wanunuzi wazuri basi ni jambo jema ila watu wengi sio wema hata China na eBay bado majizi yapo
Ni wazo zuri ila
 
Uhalali na ubora wa bidhaa itakuwaje kwenye uhakiki? Huoni watu wanaweza kuingia matatizoni kwa kuuziwa vitu vya wizi ama kupata hasara kwa kununua bandia au vibovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soko hili halina tofauti na masoko mengine ya kimtandao tofauti yake ni kwamba huu ni mnada hauna fixed prices, mnunuzi atatamka kile alicho nacho mfukoni na si lazima afike bei ya muuzaji
 
Edon mini welder machine Tb.300
Nahitaji 170 tu,
Wewe una ngapi?
IMG_20231003_093115_677.jpg
 
Uzi huu ni mzuri siku mtu atakapobuni njia sahihi ya malipo kama paypal.
Unachagua mzigo....unalipia, mwenye mzigo hapokei fedha moja kwa moja mpaka mnunuzi apokee mzigo wake na auhakiki. Then mawasiliano yanafanyika malipo yanakamilika.
 
Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa yake hapa na wanunuzi watatupia kiasi walichonacho kwa bidhaa husika.

N. B: Muuzaji ataweka bei ya kianzio kwa uhitaji wake na wahitaji watatiriri kwa kile kiasi walichonacho cha offer zao, mwishowe muuzaji atachagua kiasi cha bei kinachomfaa na kuifunga biashara.
Gourmet
 
Back
Top Bottom