Ndio uzi wetu huu piga kilugha hapo mkuu mwenye mfanano nawe ataunga teraUnajua tunakoelekea ni kuwa hizi lugha zetu za asili zitakwisha kwa jinsi tunavyochanganyika,mf.mchaga kaoa mbondei,mbondei kaoa mwela,mwela kaolewa na mnyakyusa mwisho wa siku nchi nzima lugha itakuwa ni Kiswahili tu...
Gwakata uli mpumaMwakata nweeeh
Sijui lugha gani hiyo dogo??Gwakashina mtua
Uache uduguduguMwakata nweeeh
Uache kuvanga vangaGwakata uli mpuma
Waitu mwabonayoki?
NgimbaUache kuvanga vanga