Hivi kizaramo, kikwere na kidengereko ni lugha moja?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Hivi wakuu Wazaramo, wakwere na wadengereko ni jamii moja katika mfanano wa lugha?

Jee lugha yao ni moja au zinafanana?
 
Wakwere zamani walikuwa akijiita wazigua , hawakuwa na ujasiri wa kukubali kuwa wao ni wakwere sababu ya ubwa

Alipokuja Jakaya kuwa Rais wa JMT ndipo Sasa walau wakaanza kujitambulisha kama wakwere.

Lakini kabla ya hapo walikuwa wakijificha kwenye uzigua sababu ya ujirani kidogo kwa mbali.
 
Hivi wakuu Wazaramo, wakwere na wadengereko ni jamii moja katika mfanano wa lugha?

Jee lugha yao ni moja au zinafanana?
Lugha za kienyeji zote na tamaduni zetu zote zinakufa

Culprits ni this new middle class Swahili generation

Yaani watoto ni wajinga na mashenzi wakisikia mtu anaongea Kingereza au Lugha ya Kienyeji they go balistic

They just want Kiswahili and nothing else

Ukiongea lugha ingine wanataka kukuua

Cha ajabu Kiswahili chenyewe fasaha hawakijua,penye R wanaweka L,what a loss!

Ni essentially lugha zetu zote zimekufa sababu ya hawa wapumbavu
 
Tushukuru mungu waafrika AI imekuja kabla lugha zetu hazijafa. SERIKALI ZA KIAFRIKA zimeshindwa kuhifadhi lugha zetu wakati wanakusanya kodi. Wameshindwa kuweka kitengo cha kuhifadhi lugha. Baadhi ya makabila wameandika lugha zao ila si kisomi.

AI ya wazungu wamekumbuka kuweka lugha za asili, baadhi ya lugha hazijaingia kwenye AI kama Google bard na ChatGPT.

Nimekiona kilingala, kinyakyusa, kisukuma.

HUMU KUNA WATU HUJITUKANA KUWA MIAFRIKA NI MIJITU ISIOKUWA NA AKILI. Muda mwingine unaweza amini, mpaka leo tangu uhuru Viongozi wa KIAFRIKA wamezisagia kunguni lugha za mababu zao.
 
Nitajie KABILA moja la HALISI TANZANIA ambalo halina NGOMA za ASILI
Naijua utasema WAMASAI Ila hao nfdo wanagoma nzuri na wanacheza Kwa ustad balabala

Nasubiri jibu
Tofauti ni jinsi ya kuipa kipaumbele badala ya kwenda shamba kulima kujipatia Chakula cha kujikimu na akiba kwa Mwaka mzima.
 
Kweli kabisa wote hao mzizi wao mmoja.....uoande wao huku wandenge waxaramo ....kule wazigua sababu tu wamepakana naoo......kuna wadoe wakwere ...plus wazigua wanafuatana sana kwa karibu
.
 
Wakwere zamani walikuwa akijiita wazigua , hawakuwa na ujasiri wa kukubali kuwa wao ni wakwere sababu ya ubwa

Alipokuja Jakaya kuwa Rais wa JMT ndipo Sasa walau wakaanza kujitambulisha kama wakwere.

Lakini kabla ya hapo walikuwa wakijificha kwenye uzigua sababu ya ujirani kidogo kwa mbali.
Hapo nimekusoma
 
Back
Top Bottom