Uzi wa kuchati Kilugha

Status
Not open for further replies.
Unajua tunakoelekea ni kuwa hizi lugha zetu za asili zitakwisha kwa jinsi tunavyochanganyika,mf.mchaga kaoa mbondei,mbondei kaoa mwela,mwela kaolewa na mnyakyusa mwisho wa siku nchi nzima lugha itakuwa ni Kiswahili tu...
 
Status
Not open for further replies.
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom