Uzi wa Jackpot ya zaidi ya sportpesa 655 Milioni.

winnerian

winnerian

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
149
Points
250
winnerian

winnerian

Senior Member
Joined Jul 12, 2015
149 250
Nani yupo tayari tujichange 100,000/= watu kama 20 tu tuunde mikeka nane ya double chance tuichukue tugawane katik kwa kati. Uaminifu kwangu 1001%. Waliopo serious tuuu.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
46,702
Points
2,000
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
46,702 2,000
Calculations zako haziwezezekanii.

Kila wiki lazima niweke mikeka yangu mitatu hapo
Tuendelee tu kuyachangia matoto ya kihindi yasome Tanganyika School
 
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Messages
1,219
Points
2,000
Age
35
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined May 29, 2016
1,219 2,000
Ukiwa na bahati hata single unaipiga, mungu hajaamua tu kumpa mtu hili fungu,yaan hii jacpot ni zaidi ya ujuzi wa kubet,bahati tu inahitajika.
 
winnerian

winnerian

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
149
Points
250
winnerian

winnerian

Senior Member
Joined Jul 12, 2015
149 250
Ukiwa na bahati hata single unaipiga, mungu hajaamua tu kumpa mtu hili fungu,yaan hii jacpot ni zaidi ya ujuzi wa kubet,bahati tu inahitajika.
Betting kwa 70% ni technical zilizobaki 30% ndio bahati au kamari.
 
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Messages
1,219
Points
2,000
Age
35
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined May 29, 2016
1,219 2,000
Betting kwa 70% ni technical zilizobaki 30% ndio bahati au kamari.
Sasa hizo 30% ndio muhimu kuliko70%, kuna mmama huko kusini alipiga milioni tisa ya bonus.kwa kumuangalia yule hata wachezaji wawili wa liver hawajui,aliweka tu betting akala,sasa sie wa tech mbona hatupigi hata bunus ya game10 tu?
 
winnerian

winnerian

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
149
Points
250
winnerian

winnerian

Senior Member
Joined Jul 12, 2015
149 250
Sasa hizo 30% ndio muhimu kuliko70%, kuna mmama huko kusini alipiga milioni tisa ya bonus.kwa kumuangalia yule hata wachezaji wawili wa liver hawajui,aliweka tu betting akala,sasa sie wa tech mbona hatupigi hata bunus ya game10 tu?
Ofcourse bahari inahusika lakini trust me ukiweka muda wako na energy kuweka mkeka asilimia kubwa utakula
 
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Messages
1,219
Points
2,000
Age
35
alubati

alubati

JF-Expert Member
Joined May 29, 2016
1,219 2,000
Hahahaaa ningekula hii jacpoti sio kwa uchambuzi naofanya,siachi kipengele hata kimoja cha statics ,cha ajabu naweza ishia game tano,siku niliyopata tisa niliweka tu navyojisikia.
 
winnerian

winnerian

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
149
Points
250
winnerian

winnerian

Senior Member
Joined Jul 12, 2015
149 250
Hahahaaa ningekula hii jacpoti sio kwa uchambuzi naofanya,siachi kipengele hata kimoja cha statics ,cha ajabu naweza ishia game tano,siku niliyopata tisa niliweka tu navyojisikia.
Kwa mfano game ya Sampordia vs Empoli umetoa maamuzi gani baada ya uchambuzi? Jibu nikujue kama wewe kweli mzee mwenzangu kwenye haya mambo
 
Forum statistics

Threads 1,295,418
Members 498,303
Posts 31,211,548
Top