Uzi wa Jackpot ya zaidi ya sportpesa 655 Milioni.

Betting kwa 70% ni technical zilizobaki 30% ndio bahati au kamari.
Sasa hizo 30% ndio muhimu kuliko70%, kuna mmama huko kusini alipiga milioni tisa ya bonus.kwa kumuangalia yule hata wachezaji wawili wa liver hawajui,aliweka tu betting akala,sasa sie wa tech mbona hatupigi hata bunus ya game10 tu?
 
Ofcourse bahari inahusika lakini trust me ukiweka muda wako na energy kuweka mkeka asilimia kubwa utakula
 
Hahahaaa ningekula hii jacpoti sio kwa uchambuzi naofanya,siachi kipengele hata kimoja cha statics ,cha ajabu naweza ishia game tano,siku niliyopata tisa niliweka tu navyojisikia.
 
Kwa mfano game ya Sampordia vs Empoli umetoa maamuzi gani baada ya uchambuzi? Jibu nikujue kama wewe kweli mzee mwenzangu kwenye haya mambo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom