Katika Njia ya Injili
Nijaposema kwa Lugha
Nyimbo za huyu jamaa unazo? Hii album nimeikumbuka nilikuwa nasikiliza miaka ya 90. Natamani kuzisikia tena.Nisaidie kujua huyu mwimbaji yupo wapi na pia kupata audio au video zake.
Anaitwa Nathanael Hingi. Mojawapo ya kazi zake za miaka ya 90 ni hii hapa kaseti yake.
View attachment 437519
Oi Na mfahamu sana namba zake hizi hapa 0767170170Nisaidie kujua huyu mwimbaji yupo wapi na pia kupata audio au video zake.
Anaitwa Nathanael Hingi. Mojawapo ya kazi zake za miaka ya 90 ni hii hapa kaseti yake.
View attachment 437519
Mkuu natafuta sana audio ya "Katika njia ya injili" ulioimbwa na kimara kkkt choir
Jamani mimi nimeangalia toka mwanzo kuna mwenzangu kaulizia nyimbo mbili za zamani sana lakini humu hakuna aliyeziweka. Naomba mnisaidie nakumbuka kidogo tu mashairi lakini siwakumbuki waimbaji:-
1. Mpanzi alikwenda panda mbegu njema shambani mwake. Na nyingine zilianguka kwenye mwamba, na nyingine ziliangika pakavu, na nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri zikazaa moja mia nyingine themanini. Na sisi bwana mungu katupanda shambani mwake ...........................
2. Na alipofika juu aliuona mji, akalia kwa sauti, yerusalem yerusalem laiti ungalitambua yapasayo amani. Manabii wengi nalikupa wengine ukawaua kwa mawe, yerusalem yerusalem laiti unagalitambua yapasayo amani......................................................
Yaani mwenye hizi nyimbo za zamani sana akinipatia kwa kweli nitabarikiwa sana.

Hata mimi naitafuta album hii. Kwaya iliyoimba ni ya Mbeya na kuna wimbo unaitwa PESA. Tape yao ilikuwa imechorwa noti ya shilingi 500. Mwenye kuweza kupata nyimbo hizi tafadhali atuwekee.Mimi natafuta wimbo wenye maneno..ndugu zangu mnaishi dunia yenye dhiki, jipeni moyo.....kibwagizo "jenga imani yako, kwenye mwamba imaraaa, mwamba wetu ni Yesu..Alfa na Omega"...sijui uliimbwa na kwaya gani zamani kweli
Mbarikiwe naomba wimbo unaoitwa "Dunia hii ya shida " by ulyankulu
Ulyankulu mmoja wao wanasheria