Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,255
- 1,077,555
Aaa wapi! Uchuro wa binadamu tu. Sala za wafu mai futi. Yaani wewe uishi maisha ya hovyo ya kibaharia halafu ufe watu ndiyo wakuombee uende mbinguni? Thubutuuu!!!Watakuombea, eti wanadai hivyo
Asanteee jiraniWalezi wa nyumba poleni...
Marahaba TH...Kwema The Don, Shikamoo...!
Na vile wanawake tusipokupendea Akili basi pesa.....
#Kingasionee
Asanteee jirani
Marahaba TH...
Eti umesema nini?
Subiri majamaa yakikuona
Asante sana. Kabarikiwe tena na tena TH
Uko huru TH...Free spirit indeed wallahi.
Majamaa siku hizi hayapo, najidaii