Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,069 Jun 13, 2019 #973,481 SHIMBA YA BUYENZE said: #WeweukiwamhengaminaondokaJF Click to expand... #usisahaukufungamlango
Kgothalo JF-Expert Member Jan 6, 2015 8,490 46,807 Jun 13, 2019 #973,490 Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu... Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana. Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field. Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana, yani mtu kapewa loan ya 300m, rejesho la pili hoi! www.jamiiforums.com
Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu... Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana. Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field. Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana, yani mtu kapewa loan ya 300m, rejesho la pili hoi! www.jamiiforums.com
Fragaria JF-Expert Member Jan 10, 2019 7,188 40,444 Jun 13, 2019 #973,491 Davet said: 😂😂😂 asituactie hapa na vidole vya kugoogle Click to expand... Kagugo kumbe! Ndio maana kama navijua masikhara hayo Bradha
Davet said: 😂😂😂 asituactie hapa na vidole vya kugoogle Click to expand... Kagugo kumbe! Ndio maana kama navijua masikhara hayo Bradha
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Dec 22, 2014 178,274 1,077,678 Jun 13, 2019 #973,494 Numbisa said: #usisahaukufungamlango Click to expand... #sifungimlangong'o