Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu...

Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.

mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.

huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabanker kusingekuwa na ten par kazi ingekuwa chungu sana, maana kila kukicha hali inazidi kuwa ngumu,salary increment ya mwaka huu ni kichekeasho,na watu wameacha kazi vibaya mno
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.

mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.

huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbeee iyo ya kuambiwa elfu kumi imepungua nimeambiwa sana CRDB azikiwe primier mule. Da alafu kuna msela mmoja alitakaga kunipiga milioni tano mule aliingiza kwenye akaunti sio yangu nilikuja kushtuka badae sana mi niliamini ile pay slip nikatia mfukoni bila kuangalia aisee yule dogo sita msahau
 
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.

mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.

huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kumbe ni kweli nyie ndio mnaotuibia pesa zetu eeh,nimewahi pigwa laki moja crdb mwaka juzi kwa style km uliyoisema.saivi ndio nimeshtuka
 
Kumbe ndio tabia zeni za kuwaibia wateja
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.

mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.

huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sis ma bank teller tunawapiga wateja za uso mpaka aibu Yaani ukija kuweka m2 nachomoa apo 10k namwambia mteja haipo.

mteja akitoa kuanzia 10m lazima nipunguze apo kuanzia 150k kuendelea lazima uongalie muenekano wake Kama anajifanya much know unampotezea. hali ikiwa ngumu ukitoa ata 2m napynguza apo 50k.

huko kwenu vip.......SELL or GET SOLID

Sent using Jamii Forums mobile app
mnadondosha chini ya miguu huku mkijifanya mnahesabu,huo mchezo mmewapiga sana wastaafu halafu we utakuwa NMB au finca.
 
In the modern world such rules are obsolete, you get information anywhere possible,infact a professional banker must be a number 1 gossiper!
You are a professional gossiper not professional banker. How can a professional banker ask his collegues to discuss office matters on social media like jf? You must be kidding!

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
In the modern world such rules are obsolete, you get information anywhere possible,infact a professional banker must be a number 1 gossiper!

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Everything under the sky has got limits my friends! Can you bring your 4 walls closed door important matters in public just because social media allows you to share information?
 
That is exactly what this forum provides,hayo mambo ya limits yaache huko ofisini hapa tunataka kujua hali ikoje ,kama ni mambo ambayo yanafanywa kinyume I'll surely expose them

Sasa unategemea hao bankers ndio waseme hayo mambo yanayofanywa kinyume na benki zao pole sana kwa mtazamo huo! Halafu thread yenyewe haiko objective kwamba hao bankers waongelee issue gani. Ndio maana naona kama ni gossip thread!
 
Back
Top Bottom