Hahaha 😀Kaligoma kuja kwenye uzi mmoja hivi bonge la chimbo la kulia ubuyu.
Kwa paul makonda sitaki wagen kwa sasa
#ntawalegezeawamtaani
#wajfmtulietu
Hahaha kabisaaa😂😂😂 asituactie hapa na vidole vya kugoogle
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kalisema kanataka kakufundishe faraghani eti ndo utaelewa vizuri wakati kwa prof kalikaribishwa vizuri kakatimua mbio
#UkikuaUtalegezaKamba
#UandaeitiniBadoUnakuzuzua
Khaaa!!!Watu na akili zaoView attachment 1126059
Yes Sis, My dreams only...
🤣🤣🤣🤣 Default mode...Factory settings
Keep it up SisYes Sis, My dreams only...
Who were you kissing?
Bro za google hizoHii ndiyo maneno sasa bro...Kumbe wala hung'ong'agi kucha zako wananzengo walikuwa wanakusingizia tu