Ahsante sana.Mtaka nyingi Nasaba upata mwingi msiba hapa anazungumziwa mtu mwenye tamaa ya vitu vingi kwa wakati mmoja. Hii methali inaendana na mshika mawili moja humponyoka.
Salaam M/kiti.Ok safi Pyaar!!
Imebidi nimuulizie mana nimemsikia kwenye hiyo "Leo tu" jinsi alivyomficha OneJamaa flani hivi,alikuwa Illimatrix na kina songa,one incridible,,sikuwahi kumsikia katoa ngoma yake yy kama mwenyewe,ila jamaa huwa na flow nzuri sana,huchoki kumsikiliza
Ahsante sana.
Ha ha ha mipango gani hiyo mzee mwenzangu??nimecheka sanaHawataki wachumba hao, Kuna mwenzao anaitwa ningendako huwa hataki kujionyesha umri mana anamipango kikubwa humu ndani
🙏 🙏Thanks bro.
Yes jamaa,alitulia vyema sana,sijui hata kapotelewa wapiImebidi nimuulizie mana nimemsikia kwenye hiyo "Leo tu" jinsi alivyomficha One
Kwema Bro,Salaam M/kiti.
Sasa mipango unataka tuiweke hadharani mzee mwenzangu 😂😀😀Ha ha ha mipango gani hiyo mzee mwenzangu??nimecheka sana
Andaeitini kabsaaaa,,unaitikia kwa swags hivyoMarahabeeerrr,hujambow
Ha ha ha mimi ndio wa kutolewa mifano eeehametishaa... kampita na Ninge huyu
😀😀 Kwamba mkongwe mwenzangu sio?Mwenzako huyo mpokee
sawa sawa,nmekuelewa tayaliSasa mipango unataka tuiweke hadharani mzee mwenzangu