Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,366
- 205,745
Yah vinafananaNadhani nilichanganya na 'Nasaha'.
Yah vinafananaNadhani nilichanganya na 'Nasaha'.
Davet buanaMkate una jam
Barabara ina jam
😀😀😀Davet buana
Hata break zina jam 😀😀🏃♂️🏃♂️Mkate una jam
Barabara ina jam
Bora upate jam zote ila usipate jam ya break 😀😀Hata break zina jam 😀😀🏃♂️🏃♂️
acha hizoAndaeitini kabsaaaa,,unaitikia kwa swags hivyo,,hiki kiatu hakikutoshi Prisca
Acha tuu, hasa hasa jam ya break ikikutana na ile ya barabara.Bora upate jam zote ila usipate jam ya break 😀😀
😂😂😂Acha tuu, hasa hasa jam ya break ikikutana na ile ya barabara.
Huwezi kupasahau BroRap city Mwanza
Ha ha ha ha huyu wa 2005 standard one,,nimemuona aiseeHahaha si ndio andaeitini wetu mdogo kuliko wote. Naona umempata mdogo wako
Miezi sita mchezoooHuwezi kupasahau Bro
Ha haSalama kabisa.
hahahahah, haya mkuu.
Niaje mamito, kwema huko ?Tobaaa!
hana hamu na 2005 yakeHa ha ha ha huyu wa 2005 standard one,,nimemuona aisee