myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 146,879
- 652,681
Wafanyakazi poleni sana
Hahaha si ndio andaeitini wetu mdogo kuliko wote. Naona umempata mdogo wakoHa ha ha mimi ndio wa kutolewa mifano eeeh
Sijui kiswahili aisee..
Mkate unajam
Barabara inajam
NdiyoSijui kiswahili aisee..
Nasaba maana yake ni hiyo?
Nadhani nilichanganya na 'Nasaha'.Basi nasaba ni kama undugu
Salama kabisa.Kwema Bro,
Habari ya uzima?
TRM imepumzika kuupisha mwezi mtukufu kwanza