Elly255
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 884
- 1,431
So far haiwezekani labda google wakibadilisha terms zao kwa siku za mbeleNaomba kuuliza kama unaweza kupata google adsense kama blog yako inaandika makala zake kwa kiswahili
So far haiwezekani labda google wakibadilisha terms zao kwa siku za mbeleNaomba kuuliza kama unaweza kupata google adsense kama blog yako inaandika makala zake kwa kiswahili
bri nisaidie groups z SAMm mwenyewe naamia south mkuu bongo tunatumia nguvu nyingi sana bt hakuna $$... Utapata jina tu kupitia site bt hauwez kumake mpunga wa heshima... Twende zetu SA MKUU
teh teh teh tangu nianze blog hii mbinu sijawah kuisikia,ila poah sana nitaijaribu..
mm nahtaji iliyotoa mara 3 au zaid iwe na site yake PM me kama ipoKama uko tayari kujilipua karibu!
Nauza blog na akaunti yake ya adsense ambayo iko under review wiki ya tatu sasa. Blog hii inahusu afya na ina posts 16. Bei 120,000/= tu!
Ya kaisaliKazi ya Kanisa inalipa sana. Soma haya maandiko na UACHE KUDHARAU KAZI USIZOZIJUA....
Marko 10 :28-30
28 Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.
29 Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili,
30 ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na mama, na watoto, na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.
MUNGU KWANZA
Mkuu ujue unapiga pesa mingi sana, lakini mimi
underground nahangaika hata nipate dola 5 kwa
siku nashindwa kwa sababu sijapata magrupu
active ya kushare link zangu hasa USA na UK.
Ungenisaidia hata magrupu mawili tu ingekuwa
sadaka ya kutosha kabisa jumapili ya leo na Mungu atakubariki sana mkuu.
Mimi nna macheche, kwanza niseme nimevutiwa na na hii industry ya content creating kwa ujumla! Pamoja na pesa ila dhumuni langu kuu ni "kusambaza/kushare' ujuzi. Pia demography yangu napendelea zaidi iwe nje sio hapa Tz!Habari wakuu...
Mimi nipo haPa kwa ajili ya maswali yaliyokosa majibu..........LETENI MASWALI TUONE TUNASAIDIANAJE.
ASANTE.
Ni mwaka mmoja kamili mkuu bado uko na adsense?mm nahtaji iliyotoa mara 3 au zaid iwe na site yake PM me kama ipo
Mkuu we bado inapiga hizi ishuNi mwaka mmoja kamili mkuu bado uko na adsense?
hapana,,skufankiwa kupata account ya adsence nkajiunga adstera. lakn nako mambo hayakuwa mazuri nkaenda kuchoma mahnd.Ni mwaka mmoja kamili mkuu bado uko na adsense?
Mkuu nakupm inashindikanaNdiyo