Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

Burton86jm

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Messages
618
Points
250
Burton86jm

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2011
618 250
Nimepata elimu sana na bado nahitaji kujifunza zaidi.Ila inakuwaje wanadai kuwa google ads. Haitambui lugha ya kiswahili ni kweli??
 
Burton86jm

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Messages
618
Points
250
Burton86jm

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2011
618 250
Naona inshu sio kuwa na magroup mengi japo biashara matangazo naamini site yako ikibeba contents nzuri utapata views pia Tanzania wengi tunatengeneza blog zenye contents za kufanana sana.
 
Sam Jr official

Sam Jr official

Member
Joined
Dec 21, 2017
Messages
82
Points
125
Sam Jr official

Sam Jr official

Member
Joined Dec 21, 2017
82 125
Tatizo sio kuwa na groups Mzee....je hayo magroup yako yapo active..je unaposti kitu kinachoendana na group, je account yako IPO active
Naomba mfano wa magroup 5 ambayo yako active af ntaangalia niches zake nijaribu kuona what I can get?
 
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
844
Points
500
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
844 500
Mm Nafanya blog lakini tatizo langu ni kwamba viewers wangu wengi ni watanzania ambao inakuwa ngumu kupata kipato....nimejaribu kufanya kazi na magroup ya nje ambayo nlipata hapa na mengine nlijaribu kununua link kutoka kwa mdau lakini bado viwers wa nje ni tatizo,je nifanyeje ili nipate viwers wa nje hata 2k kwa siku?je ni platform gani nyingine ambayo inaweza kunisaidia kupata viwers Wa blog yangu ukiacha facebook?
Mimi mwenyewe nahangaika kushea huko fb mzee hakuna kitu kabisa .. Bt naendelea kufanya experiment ipo siku nitaweza kucrack hiyo mbinu... Maana ukiwafuata malegends wenyewe wanakuambia shea... Shea... Wewe shea tuuu... Yani ile kukuelekeza kale ka technique ndyo hawataki
 
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
2,869
Points
2,000
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
2,869 2,000
Mimi mwenyewe nahangaika kushea huko fb mzee hakuna kitu kabisa .. Bt naendelea kufanya experiment ipo siku nitaweza kucrack hiyo mbinu... Maana ukiwafuata malegends wenyewe wanakuambia shea... Shea... Wewe shea tuuu... Yani ile kukuelekeza kale ka technique ndyo hawataki
Mbinu ya kushare ni rahisi Mzee baba....andika caption itayoleta comments na likes kwa mfano.."type amen kama umeamka salama" baada ya Massa kama matano hivi comments na likes zikijaa cha kufanya unaenda kuiedit caption yako unaweka link yako mwishoni mwa caption....
 
sanjally1

sanjally1

Member
Joined
May 9, 2015
Messages
54
Points
125
sanjally1

sanjally1

Member
Joined May 9, 2015
54 125
Mbinu ya kushare ni rahisi Mzee baba....andika caption itayoleta comments na likes kwa mfano.."type amen kama umeamka salama" baada ya Massa kama matano hivi comments na likes zikijaa cha kufanya unaenda kuiedit caption yako unaweka link yako....
teh teh teh tangu nianze blog hii mbinu sijawah kuisikia,ila poah sana nitaijaribu..
 
Joram Dymisster

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Messages
370
Points
250
Joram Dymisster

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2014
370 250
Mm Nafanya blog lakini tatizo langu ni kwamba viewers wangu wengi ni watanzania ambao inakuwa ngumu kupata kipato....nimejaribu kufanya kazi na magroup ya nje ambayo nlipata hapa na mengine nlijaribu kununua link kutoka kwa mdau lakini bado viwers wa nje ni tatizo,je nifanyeje ili nipate viwers wa nje hata 2k kwa siku?je ni platform gani nyingine ambayo inaweza kunisaidia kupata viwers Wa blog yangu ukiacha facebook?
Blog yako inahusu nini na ipo kwenye niche gani...? au nipe url niangalie mwenye kama hutojali....
 
bunyebunye

bunyebunye

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
497
Points
1,000
bunyebunye

bunyebunye

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2013
497 1,000
:):):)mambo ni motooooooooooo:eek::eek::eek:

Mkuu ujue unapiga pesa mingi sana, lakini mimi
underground nahangaika hata nipate dola 5 kwa
siku nashindwa kwa sababu sijapata magrupu
active ya kushare link zangu hasa USA na UK.
Ungenisaidia hata magrupu mawili tu ingekuwa
sadaka ya kutosha kabisa jumapili ya leo na Mungu atakubariki sana mkuu.
 
algorithim

algorithim

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2016
Messages
848
Points
1,000
algorithim

algorithim

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2016
848 1,000

mkuu madini yote yapo hapa.. There is somebody named lion tears(machozi ya simba)alishatuma groups hapa, kuna mwingine anaitwa LIKE NIKU ADD hua anashare ujuzi wake .. mimi nimeshatoa ufahamu wangu mwingi hapa na wengine lukuki.. chamsingi wekeza mda wako mwingi kusoma nyuzi mbalimbali za hizi ads network kila kitu kipo humu...hata JF hawaruhusu kurudia rudia contents coz they wonna mark us as a spam..:(:(:(:(
 
Sawa mkuu, groups alizotusaifia mkuu Machozi ya simba nimejiunga nazo na zilikuwa za SA, ndiyo maana nimeomba USA na UK. Mimi ni mfatiliaji sana wa nyuzi zote za ads zinazopostiwa hapa jukwaani, nashukuru sana kwenu wakongwe jinsi mnavyoshare ujuzi wenu mbalimbali katika kutengeneza pesa mtandaoni, mimi niko na ombi moja, kama vile mkuu machozi ya simba alivyoshare magrupu ya SA, na mwingine angejitolea akatusaidia sisi maandaground groups za USA, UK, Canada na nchi nyingine ambazo tukishare huko tutapata pesa walau za kukimbiza maisha haya wakuu. Hali ni ngumu sana mtaani, hasa kwetu graduate tusio na ajira
 
mkuu mbona wewe sio mkweli!!!!!! iweje uwe na groups za machozi ukose hata dollar 5per day...??!! kama kweli una zile groups za machozi ya simba, hauwezi kukosa dollar kuanzia 30$ ++ per day, nina uhakika ninachosema labda hujui ku-share na kuandika habari zenye impact ..:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Forum statistics

Threads 1,336,689
Members 512,697
Posts 32,547,826
Top