Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
1,014
2,000
Kama kichwa kinavyojieleza, hapa tutakutana hapa na kubadilishana mawazo pamoja na kushare maujanja tofauti tofauti katika app hii.

Kwanza kabisa wameachia toleo jipya kabisa v6.10...Download
Kuna toleo jipya tinapeana na kujadiliana kipi kimeongezwa.
Karibuni sana wana GB wenzangu.
 

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,178
2,000
Njia rahisi ya kuboresha au Kupakua GB WhatsApp kulingana na device yako.


Kwanini ni muhimu kuangalia video hii? Watumiaji wengi wa GB mods wamekata tamaa baada ya kuwepo kikwazo cha utofauti wa processor. Sasa kupitia video hii ona jinsi ya kupakua toleo linaloendana na kifaa chako
 

nanawoo

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
1,110
2,000
Mi mtumiaj mzur wa gb WhatsApp so kila nikitaka kutuma Aidha picha au video lazma linakuja tangazo au app ya kutaka kudownload hii inanikera saana so nifanyaje hadi isitokee tena kama hivi mfano
Screenshot_20190413-090252_WhatsApp.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
1,014
2,000
Kwa waliokula tempo ban Karibu tupakue hii new version ya GB WhatsApp ambayo ina antban.
Ili uweze kupakua lazma utumie web au telegram app
Pakua hapa👉 GB WhatsApp v6.95 antban
1118707

Kama utakwama karibu nikusaidie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom