Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,328
- 2,283
Kwa nini mkuu?Hakuna kinachochanganya wengi saivi kama ku update GB WhatsApp asee
Sent using smatskills group on telegram
Ile lugha unaieleewa?Kwa nini mkuu?
Sent using Samsung Galaxy
Njia ya kupata size yakoKwa nini mkuu?
Sent using Samsung Galaxy
Tumia Google Chrome kuiupdate,chrome itaauto transalate kile kiarabuIle lugha unaieleewa?
Kuna mtu naona anatumia whatsapp yake ya kawaida anapokea msg kama kawaida.Instagram,fb,whatsapp zote azifanyi kazi tokea saa tano.hii ni wordwide
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo itakuwa mod ingine imesample, ni version gani hiyo, mana kwangu hakunaMi mtumiaj mzur wa gb WhatsApp so kila nikitaka kutuma Aidha picha au video lazma linakuja tangazo au app ya kutaka kudownload hii inanikera saana so nifanyaje hadi isitokee tena kama hivi mfanoView attachment 1070187
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa kwa nini nitumie web kwenye ku updateKwa waliokula tempo ban Karibu tupakue hii new version ya GB WhatsApp ambayo ina antban.
Ili uweze kupakua lazma utumie web au telegram app
Pakua hapa👉 GB WhatsApp v6.95 antban
View attachment 1118707
Kama utakwama karibu nikusaidie
Kulingana na sehemu ilipo uplodiwaSijaelewa kwa nini nitumie web kwenye ku update
Kwa waliokula tempo ban Karibu tupakue hii new version ya GB WhatsApp ambayo ina antban.
Ili uweze kupakua lazma utumie web au telegram app
Pakua hapa GB WhatsApp v6.95 antban
View attachment 1118707
Kama utakwama karibu nikusaidie
Ushadownload?Naomba unielekeze
HapanaUshadownload?