Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

Njia rahisi ya kuboresha au Kupakua GB WhatsApp kulingana na device yako.


Kwanini ni muhimu kuangalia video hii? Watumiaji wengi wa GB mods wamekata tamaa baada ya kuwepo kikwazo cha utofauti wa processor. Sasa kupitia video hii ona jinsi ya kupakua toleo linaloendana na kifaa chako
 
Mi mtumiaj mzur wa gb WhatsApp so kila nikitaka kutuma Aidha picha au video lazma linakuja tangazo au app ya kutaka kudownload hii inanikera saana so nifanyaje hadi isitokee tena kama hivi mfano
Screenshot_20190413-090252_WhatsApp.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa waliokula tempo ban Karibu tupakue hii new version ya GB WhatsApp ambayo ina antban.
Ili uweze kupakua lazma utumie web au telegram app
Pakua hapa👉 GB WhatsApp v6.95 antban
1118707

Kama utakwama karibu nikusaidie
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom