chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 735
- 1,208
Muwekage na price
Hizo driller tsh ngapi kwa mmoja?
Hizo driller tsh ngapi kwa mmoja?
Unamtania au upo serious ndugu?.maana iyo bei ya laki na 8 si ya masakilaki na 80
Umeshauza??????Wakuu kama kuna mtu anaanza maisha aje nimuuzie kitanda na godoro 5*6 kwa laki moja,na jiko dogo la gesi mihani kwa 15,000.
Nipo morogoro
Naitaka hii
Hii pia
Naitaka hii
Hii pia
Jagi shngapi hili mkuu
Jagi jeusi la kuchemshia maji unauzaje
Nitapatajeelfu 35