Uzi maalum kwa 'vitu used'

azam decoder hiyo apo haina shida iko yenyewe bila dish nipeni 82000 tu 0654815422
20200916_125432.jpg
20200916_125409.jpg
20200916_125358.jpg
 
NAUZA KIWANJA KIPO DAR KIMARA BONYOKWA
UKUBWA;SQM 400 (SQUARE METRE 400) kiwanja kina nyumba ya vyumba viwili.
BEI;MILION 16.
Contact;0687886600
Pia napangisha vyumba na nyumba kmara...ukihtaji nyumba/chumba cha kupanga wasiliana nami.
 
Wadau natafuta vifaa vya chipsi kasoro kabati tu kwa sababu ninalo..pia Kama nitapata na kijiwe itakuwa vizuri zaidi.. Niko Mbezi dar es salaam.....


Itapendeza zaidi kijiwe kiwe Kati ya ubungo na mbezi au kigamboni ..kwa maelezo zaidi nicheki pm
 
Back
Top Bottom