Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,051
- 36,788
Nyuzi ya kutambua waliotufurahisha kwenye majukwaa ya JF kwa nyuzi walizoandika au majibu waliyotoa kwenye replies ndani ya wiki hii.
Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa na ukafutiwa replies 100, mlinifanya nilale saa kumi alfajiri, mpaka next day nikaamka naumwa.
Majibu ya mwanangu Poor Brain na mzee wangu wa dhahabu Ushimen yamenipa raha sana wiki hii.
May 24, 2025
Leo ni siku yangu bora zaidi kwangu kwa mwaka 2025, kuna jambo siwezi kuliweka hapa limenifurahisha sana.
Kama kungekua na kijana anajielewa humu, leo ningemtunukia friendly match, tatizo waliobaki wote si type yangu kama akina Tajiri Sina BAYA na kibamia mzabzab