Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Duuh kurudi zama za mawe za kati kabla ya ugunduzi wa moto ni hatari sana.

Ila imekaa poah ngoja ningoje nionje huo uzee nione ubaya wake, naweza jaribu.
Inasaidia kweli .
Nakumbuka kuna kipindi nilihisi uzito wangu umezidi kidogo kwa sababu nilikuwa nahisi uchovu mno hata kuinama kufanya shughuli ndogo tu nikinyanyuka nahema kama kuna bonge la kaz nilikuwa nafanya.

Niliamua kula matunda na mboga mboga+maji tu kwa mwezi mmoja ili nipungue uzito kidogo kweli nilipungua karibu kilo moja lakin kitu kingine niliona improvements za ngozi yangu ilikuwa nzuri kiasi na si kavu.

Hivyo ni kweli inasaidia sana.
 
Habari za asubuhi wapendwa,

Kuna wakati nilipata mwaliko wa kwenda nchini Uganda, tulifika Kampla na kupokelewa na mwenyeji wetu. Tulikuwa kikundi cha watu watano, tulipelekwa kwenye hoteli tuliyoandaliwa na kuambiwa tujiandae, baada ya masaa mawili mwenyeji wetu atarudi kutuchukua kwa chakula cha jioni.

Nyumbani kwa mwenyeji wetu ile karamu ilikuwa ya kukata na shoka, kulikuwa na vyakula vingi kuanzia; matoke, wali, samaki sato, nyama ya mbuzi (choma), mbuzi mchuzi, chapati, salad, matunda, nuts na vinginevyo. Katika kujitengea chakula, kaka mmoja nilimuona anakula salad tu, baada ya chakula tulijiwekea matunda na story za hapa na pale ziliendelea.

Baadae niligundua kaka yule ni daktari, alinifahamisha alipata scholarship baada ya kumaliza form six kwenda kusoma medicine China, alipofika kule aliamua kubadili na kusomea Chinese Medicine na katika process ya kusoma herbs ndiyo aligundua uharibifu wa chakula katika harakati za mapishi mpaka kumfikia mlaji.

Daktari yule aliniambia kwa miaka takriban 25 ameacha kula chakula kilichopikwa, alipoanza ilikuwa ngumu lakini sasa hivi hawezi tena kula chakula chochote kilichopitia moto. Kwa muonekano yule daktari anaonekana ana miaka 35, nilishangaa aliponiambia ameshagonga 50 kama miaka miwili iliyopita.

Dieat yake:
Breakfast; embe na ndizi mbivu au papai na ndizi mbivu pamoja na kikombe cha mchanganyiko wa nuts hii ndiyo supplement ya protein. Chai na kahawa ni sumu kubwa ya mwili, kunywa maji tu ukimaliza kula hivyo. Kwasababu digestion ya matunda ni haraka, hakikisha una matunda yaliyotaarishwa na unaweza kula baada ya saa moja au masaa mawili.

Lunch;
Kabich lililokatwa katwa, matango (cucumber), nyanya, unaweza kuweka limao kwa ladha pia ni source ya vitamin C, vipande vya mhogo au viazi vitamu unatafuna vibichi na kikombe cha mchanganyiko wa nuts unamalizia na maji.

In between hakikisha unaandaa matunda na cucumber kama bites kwasababu digestion inakwenda haraka.

Dinner;
Carrots zilizokatwa katwa, kachumbari ya nyanya kitunguu na cucumber unanyunyiza olive oil kijiko kimoja cha chakula, nanasi na kikombe cha mchanganyiko wa nuts na glass ya maji.

Wengine wanafanya water therapy yaani in between meals wanakunywa maji haya yanasaidia pa kutokusikia njaa.

Ukianza hivyo hutaweza kuwa na excess fat.
I wish ningekuona and wewe uanze kula hizo mboga na matunda mi niendelee na michanganyiko ya nyama. Then after twenty years tu judge nani kazeeka.

Sikatai kula vibaya kunaweza kukaharibu mwili.

Lakini pia kula mboga tu hautengenezi mwili. . .yaani hakusaidii kutozeeka .
Madam ukifika 70 utaonekana 70 tu regardless ulikua unakula vizuri vip?

So usijitese kabda kama ni hobby yako
 
Habari za asubuhi wapendwa,

Kuna wakati nilipata mwaliko wa kwenda nchini Uganda, tulifika Kampla na kupokelewa na mwenyeji wetu. Tulikuwa kikundi cha watu watano, tulipelekwa kwenye hoteli tuliyoandaliwa na kuambiwa tujiandae, baada ya masaa mawili mwenyeji wetu atarudi kutuchukua kwa chakula cha jioni.

Nyumbani kwa mwenyeji wetu ile karamu ilikuwa ya kukata na shoka, kulikuwa na vyakula vingi kuanzia; matoke, wali, samaki sato, nyama ya mbuzi (choma), mbuzi mchuzi, chapati, salad, matunda, nuts na vinginevyo. Katika kujitengea chakula, kaka mmoja nilimuona anakula salad tu, baada ya chakula tulijiwekea matunda na story za hapa na pale ziliendelea.

Baadae niligundua kaka yule ni daktari, alinifahamisha alipata scholarship baada ya kumaliza form six kwenda kusoma medicine China, alipofika kule aliamua kubadili na kusomea Chinese Medicine na katika process ya kusoma herbs ndiyo aligundua uharibifu wa chakula katika harakati za mapishi mpaka kumfikia mlaji.

Daktari yule aliniambia kwa miaka takriban 25 ameacha kula chakula kilichopikwa, alipoanza ilikuwa ngumu lakini sasa hivi hawezi tena kula chakula chochote kilichopitia moto. Kwa muonekano yule daktari anaonekana ana miaka 35, nilishangaa aliponiambia ameshagonga 50 kama miaka miwili iliyopita.

Dieat yake:
Breakfast; embe na ndizi mbivu au papai na ndizi mbivu pamoja na kikombe cha mchanganyiko wa nuts hii ndiyo supplement ya protein. Chai na kahawa ni sumu kubwa ya mwili, kunywa maji tu ukimaliza kula hivyo. Kwasababu digestion ya matunda ni haraka, hakikisha una matunda yaliyotaarishwa na unaweza kula baada ya saa moja au masaa mawili.

Lunch;
Kabich lililokatwa katwa, matango (cucumber), nyanya, unaweza kuweka limao kwa ladha pia ni source ya vitamin C, vipande vya mhogo au viazi vitamu unatafuna vibichi na kikombe cha mchanganyiko wa nuts unamalizia na maji.

In between hakikisha unaandaa matunda na cucumber kama bites kwasababu digestion inakwenda haraka.

Dinner;
Carrots zilizokatwa katwa, kachumbari ya nyanya kitunguu na cucumber unanyunyiza olive oil kijiko kimoja cha chakula, nanasi na kikombe cha mchanganyiko wa nuts na glass ya maji.

Wengine wanafanya water therapy yaani in between meals wanakunywa maji haya yanasaidia pa kutokusikia njaa.

Ukianza hivyo hutaweza kuwa na excess fat.
Umesema component moja tu ya chakula vp kuhusu mazoezi hana hiyo segment kweli?
 
Lakini kwa sasa kilimo kimetawaliwa na usasa ( dawa za kumwagilia & sindano) hivyo unaweza athirika zaidi na hayo manyanya kabichi karoto mbichi toka shambani moja kwa moja

Tena hapo unakaribisha minyoo kabisa
 
Habari za asubuhi wapendwa,

Kuna wakati nilipata mwaliko wa kwenda nchini Uganda, tulifika Kampla na kupokelewa na mwenyeji wetu. Tulikuwa kikundi cha watu watano, tulipelekwa kwenye hoteli tuliyoandaliwa na kuambiwa tujiandae, baada ya masaa mawili mwenyeji wetu atarudi kutuchukua kwa chakula cha jioni.

Nyumbani kwa mwenyeji wetu ile karamu ilikuwa ya kukata na shoka, kulikuwa na vyakula vingi kuanzia; matoke, wali, samaki sato, nyama ya mbuzi (choma), mbuzi mchuzi, chapati, salad, matunda, nuts na vinginevyo. Katika kujitengea chakula, kaka mmoja nilimuona anakula salad tu, baada ya chakula tulijiwekea matunda na story za hapa na pale ziliendelea.

Baadae niligundua kaka yule ni daktari, alinifahamisha alipata scholarship baada ya kumaliza form six kwenda kusoma medicine China, alipofika kule aliamua kubadili na kusomea Chinese Medicine na katika process ya kusoma herbs ndiyo aligundua uharibifu wa chakula katika harakati za mapishi mpaka kumfikia mlaji.

Daktari yule aliniambia kwa miaka takriban 25 ameacha kula chakula kilichopikwa, alipoanza ilikuwa ngumu lakini sasa hivi hawezi tena kula chakula chochote kilichopitia moto. Kwa muonekano yule daktari anaonekana ana miaka 35, nilishangaa aliponiambia ameshagonga 50 kama miaka miwili iliyopita.

Dieat yake:
Breakfast; embe na ndizi mbivu au papai na ndizi mbivu pamoja na kikombe cha mchanganyiko wa nuts hii ndiyo supplement ya protein. Chai na kahawa ni sumu kubwa ya mwili, kunywa maji tu ukimaliza kula hivyo. Kwasababu digestion ya matunda ni haraka, hakikisha una matunda yaliyotaarishwa na unaweza kula baada ya saa moja au masaa mawili.

Lunch;
Kabich lililokatwa katwa, matango (cucumber), nyanya, unaweza kuweka limao kwa ladha pia ni source ya vitamin C, vipande vya mhogo au viazi vitamu unatafuna vibichi na kikombe cha mchanganyiko wa nuts unamalizia na maji.

In between hakikisha unaandaa matunda na cucumber kama bites kwasababu digestion inakwenda haraka.

Dinner;
Carrots zilizokatwa katwa, kachumbari ya nyanya kitunguu na cucumber unanyunyiza olive oil kijiko kimoja cha chakula, nanasi na kikombe cha mchanganyiko wa nuts na glass ya maji.

Wengine wanafanya water therapy yaani in between meals wanakunywa maji haya yanasaidia pa kutokusikia njaa.

Ukianza hivyo hutaweza kuwa na excess fat.
Mh wakati unakula unakaa ksribu na mlango wa toi nini maana likijichanganya haliwez kuleta mlipuko na mafuliko ya ajabu mazoea tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom