Mbona China, Japan, India na Singapore hawana hao watenda miujiza yako? Ni suala la kutumia akili. Siyo kila taifa lililoendelea limefanya hivyo kwa kutegemea wageni.
Kwani huyo Trump na Obama wameongeza nini kwa Marekani? Kwa nchi ambazo wageni huja na kuendelea kung'ang'ania uraia wa hata nchi wasizokuwa na uraia kama wahindi wakiiba na kutoroshea India na Ulaya, dhana hii inafaa. Ubunifu wa nchi hautegemei wageni vinginevyo Japan na Korea ya Kusini wasingewini