William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Ukifatilia tawala kubwa zilizopitA kale, za Sasa na matAifa yaliyoendelea kiuchumi Kuna mchango mkubwa Sana wa wageni kutoka nje.
Ukiangalia asili ya Trump na Obama wote walitoka nje ya marekani. Ukizungumzia nguvu ya kivita Basi zungumzia nguvu za waisraeli waishio Marekani na Russia ndio msingi wake. Ukizungumzia Ujerumani yenye nguvu NI Akili za waisraeli waliotekwa na kutumikishwa na Adolf hitra.
Wanahistoria wanaweza wasinielewe kabisa nikiwaambia Taifa kubwa kutokea duniani la utawala wa uturuki (otuman empire) ulitumia wataalamu wa hesabu, philosophy na madaktari Bingwa kutokea Ugiriki. Tusome historia jamani. Uongozi, utaalamu wowote kinachotangulia NI talent Mambo ya ELIMU huja tu kuing'arisha talent aliyonayo mtu.
Watu wa Mpira hupima kwa macho ndio maana Leo Simba na yanga zinajaza wachezaji kutoka nje, kocha kutoka nje na wazawa wakitaka kuhoji wanakosa nguvu kwa kuona matokeo. Kama ulivyo Mpira uongozi ( manajement) NI kipawa sio kila mtu anaweza kumenaji ata awe na madegree mangapi. Watu walikimbia shule wakaenda kuunda kampuni zinazoongoza duniani kwa mafanikio. William Henry Gets(Bill gets) hakumaliza degree akarudi muanzisha kampuni kubwa Sana duniani.
Tukumbuke pia mafanikia ya Nmb Sasa yanatokana na UBUNIFU wa top management nett group kutoka south Afrika baada ya kufeli na kujiendesha kwa hasara ya miaka nenda Rudi kwa wazawa wa iliyokuwa NBC.
Nakumbuka jinsi serikali ilivyowawekea ngumu voda kupata kibari Cha kuajili top management ya yule mkenya ikitakA mzawa. Sijui iliwaza mzawa yupi?!! Kwa mafanikio gani aliyoyapata ya uongozi katika kampuni ipi au waliangalia na PhD tu.
Juzi Tena Baada ya mfumo wa ruku kusumbua nilisikia waziri akiingizwa kingi na kuanza kulaumu wageni wanaoendesha mfumo husika. Bila tafiti iliyokamilika ya kujua chanzo chA tatizo ukweli na Nini kilitokea. Hapo mtu yoyote anaweza kuujumu mfumo Fulani ili apate njia ya kumtoa mgeni na kuweka watu wake.
Kama unawaza maendeleo ya kweli NI ujinga na ujanja ujanja kuanza kufikilia uzawa kwanza.
NI dhana ya kishamba Sana na kizamani mno kufikiri watu wako au taifA lako NI Bora kuliko watu wengine wote. Kama tunatAkA maendeleo tuangalie uwezo sio uzawa au mzungu yeyote anaweza kufanya vizuri.