book11
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 700
- 390
Baada ya wao kukubali ujenzi wa makanisa pia kuna sehemu ya kuuzia kitimoto imefunguliwaSa
Saudia je?
Baada ya wao kukubali ujenzi wa makanisa pia kuna sehemu ya kuuzia kitimoto imefunguliwaSa
Saudia je?
Maajabu zaidi ni pale ambapo mwezi mtukufu nyama ya nguruwe huwa haitoki kabsa

Kwani uongo???
Unauliza majibu??Kweli kabisa. Jamaa wanaenda Ramadhani biashara inakuwa ngumu. Inaonekana jamaa wanakula kuliko cc.
Kama papuchi tu,ukiiangalia mbaaayaa ila ukiwekako ndo kwa mbaaaliiiiSura yake na ladha yake haviendani
Ndani ya JMTHivi kumbe Pemba iko Tanzania eeeh!
Hahahhahhahhaa ila watu bwanaNasikia huyo kiumbe Ni km maji usipoyapikia mboga lazima utaswakia
Uongo huuChukua kipande cha nyama weka juani 5minutes kinatoa funza 😀
Longolongo tu hizo mzee ingekuwa hivyo hao funza si tungewaona huko mabuchani?nakotokea mimi mdudu anachinjwa hata saa sita mchana wa jua kali hakuna mahali imetokea hii sayansi yako uliyoandika hapa.Chukua kipande cha nyama weka juani 5minutes kinatoa funza 😀
Sehemu yoyote wapo hata Pemba?
Kweli kabisaKuanzia next week...biashara ya Mdudu huyu itadoda sana..
Inasemekana lakin..
Sehemu yoyote wapo hata Pemba?
Wapo sanaSa
Saudia je?
Anazaa ndani ya miezi 3 na wiki 3 na siku 3Kitimoto uzao mmoja kama ulimtunza vizuri anazaa watoto 8-14 so unaweza kuona hapo, pia ni biashara nzuri sana kama umejipanga
funza ndo utamu wenyewe hujui nin? nyau weChukua kipande cha nyama weka juani 5minutes kinatoa funza 😀
Anaitwa Mdudu Handsome!!Sura yake na ladha yake haviendani