Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Nguruwe ni mnyama pendwa No. 1 duniani. Tembea kokote duniani ni lazima usikie tu habari nzuri za huyu kiumbe wa MUNGU.
Kitimoto hupikwa katika namna mbalimbali kama rojo /kavu / choma na huliwa kwa ugali ama ndizi.
Huwezi kwenda mahali ukaambiwa hapa nguruwe hamna. Popote uendako ni lazima umkute mnyama huyu japokuwa analiwa kwa kasi zote na kwa ushindani wa hali ya juu sana.
Hapa Tanzania wananchi wanapenda sana kula kitimoto. Pamoja na wingi wa wateja lakini huwezi kumkosa kitimoto popote uendapo mikoa yote Tanzania nzima iwe mijini vijijini ama mitaani.
Sijui uzao wao ukoje. Hawaishi kamwe! Wapo tu na wanawasubiri muwafuate.