😀😀😀😀Mama xulu upo?sana tu yaan pale Xulu anamuhesabia tu
Natamani pale Zulu atakapomwambia mkewe kuwa mtoto wao ni Ayanda,huku akijua binti yake sipho kamzimikia Ayanda
ni kizaizaiSijui kesho itakuwaje..
Mk kasalim amri kwa kaka yake sio kwa kipigo kile sai anaheshima debe ad sma anamshangaa(sasa sjui ni anafake au laa)TANESCO sio watu wazur mtusimulie jaman
shukran kwa kuwepoNaona mk sasa kanyooka kidogo ila ni ana mpango na xulu bado
Mangcobo alichotafuta kakipata sasa.
Haka ka amandla kanaboa kwanini zweli asikatuliza? Mtu mwenyewe hata sio mtoto wa xulu ..
Nilikuwepo..
Vipi mama dhlomo upooshukran kwa kuwepo
Bora angesema nuhu aliongoza wa Israel kwenda misri yani alienda OP kabisa , alisema nuhu aliongoza mafarisayo kwenda misriMama xulu upo?
Naona zimebaki siku chache tu mxo afungashiwe virago, maana dogo hana akili anamvimbia baba yake wa kambo.
Ila mabuza muongo eti nuhu aliwaongoza wamisri kwenda nchi ya ahadi, kudadeki
Ayanda nae anataka kumkomoa dingi yake..
Naona sasa unacheka mpaka jino la mwisho mumeo karejea..
Mama xulu upo?
Naona zimebaki siku chache tu mxo afungashiwe virago, maana dogo hana akili anamvimbia baba yake wa kambo.
Ila mabuza muongo eti nuhu aliwaongoza wamisri kwenda nchi ya ahadi, kudadeki
Ayanda nae anataka kumkomoa dingi yake..
Naona sasa unacheka mpaka jino la mwisho mumeo karejea..
Ha ha ha limabuza lilitisha sana hapo.... na ile physique yake ni kama muda wote limeshiba mno mpaka kusimama kwa tabu jamaa ni STUNT haswa... ngoja na mimi nitafute hela sana ili nipatage lapdog kama mabuza alivyo lapdog wa GbashaneBora angesema nuhu aliongoza wa Israel kwenda misri yani alienda OP kabisa , alisema nuhu aliongoza mafarisayo kwenda misri
kama namuona mangcobo na muhaho wake.Mk kasalim amri kwa kaka yake sio kwa kipigo kile sai anaheshima debe ad sma anamshangaa(sasa sjui ni anafake au laa)
amandla anang'ang'ania kwenda kwa baba yake, smaa anamzuia lakn hasikii anaenda nyumban kwa ghabashe na kukutana na mke wa ghabashe,anatimuliwa ka mbwa na kutolewa nje...... bila kukata tamaa anaenda tena kazini kwa ghabashe na kukutana na zweli, zweli katika kumzuia amandla anatokea ghabashe na kwenda na amandla ofisini kuongea nae.. amandla anamwambia anatamani kujenga nae mahusiano kama baba yake ghabashe anamwambia hilo halitowezekana kwan yeye anafamilia kabla ajamaliza kuongea amandla kwa ghadhabu ananyanyuka na kuondoka
mama xulu anapokea majibu ya DnA na kushindwa kuamini alicho shuhudia
Siku hizi simuoni na ile pipi yake ya bigbomu.Ha ha ha limabuza lilitisha sana hapo.... na ile physique yake ni kama muda wote limeshiba mno mpaka kusimama kwa tabu jamaa ni STUNT haswa... ngoja na mimi nitafute hela sana ili nipatage lapdog kama mabuza alivyo lapdog wa Gbashane
nipo nimejaaa tele... upo adimVipi mama dhlomo upoo
ni nomaaa maana anavyompenda mxo n balaakama namuona mangcobo na muhaho wake.
Nimecheka sana! Ni kweli lijamaa linapenda pipi kinoma nikiliona na pipi iyo nilikua ata silielewi hili vipi tena😂🤣😅Siku hizi simuoni na ile pipi yake ya bigbomu.
Hahhaa hlf mwili nyumba huku linakuka pipiNimecheka sana! Ni kweli lijamaa linapenda pipi kinoma nikiliona na pipi iyo nilikua ata silielewi hili vipi tena
Fala sana lile😅😂! Lipo loyal sana kwa Gbaxhane na linajua sana. Nimeshaanza kulikubali bure toka cku ile liliposema eti nuhu na mafalisayo misri... unamjua Pastor Gabriel Motusi yule wa isindingo? Jamaa lina charisma kama yake... keep it up my boy Mabuza🤩🤗Hahhaa hlf mwili nyumba huku linakuka pipi