Uzalo Special Thread

Kutana na nuhu toka kwa mashu town ambaye aliwaongoza wana wa israel kwenda nchi ya ahadi mabuza mungu anakuona ujue :D :D
 
sana tu yaan pale Xulu anamuhesabia tu
Natamani pale Zulu atakapomwambia mkewe kuwa mtoto wao ni Ayanda,huku akijua binti yake sipho kamzimikia Ayanda
😀😀😀😀Mama xulu upo?
Naona zimebaki siku chache tu mxo afungashiwe virago, maana dogo hana akili anamvimbia baba yake wa kambo.

Ila mabuza muongo eti nuhu aliwaongoza wamisri kwenda nchi ya ahadi, kudadeki 😀😀😀

Ayanda nae anataka kumkomoa dingi yake..
Naona sasa unacheka mpaka jino la mwisho mumeo karejea..😆😆
 
😱😱nimejuta mimi leo kushuhudia kipigo cha MK duh.... manzuza jamani kachokaaa adi huruma
yaaani na huyu mxo anaakili kama za baba yake.. yule alietelekeza familia😤 mpuuzi yule
 
Naona mk sasa kanyooka kidogo ila ni ana mpango na xulu bado
Mangcobo alichotafuta kakipata sasa.

Haka ka amandla kanaboa kwanini zweli asikatuliza? Mtu mwenyewe hata sio mtoto wa xulu ..

Nilikuwepo..
 
TANESCO sio watu wazur mtusimulie jaman
Mk kasalim amri kwa kaka yake sio kwa kipigo kile sai anaheshima debe ad sma anamshangaa(sasa sjui ni anafake au laa)
amandla anang'ang'ania kwenda kwa baba yake, smaa anamzuia lakn hasikii anaenda nyumban kwa ghabashe na kukutana na mke wa ghabashe,anatimuliwa ka mbwa na kutolewa nje...... bila kukata tamaa anaenda tena kazini kwa ghabashe na kukutana na zweli, zweli katika kumzuia amandla anatokea ghabashe na kwenda na amandla ofisini kuongea nae.. amandla anamwambia anatamani kujenga nae mahusiano kama baba yake ghabashe anamwambia hilo halitowezekana kwan yeye anafamilia kabla ajamaliza kuongea amandla kwa ghadhabu ananyanyuka na kuondoka
mama xulu anapokea majibu ya DnA na kushindwa kuamini alicho shuhudia
 
Mama xulu upo?
Naona zimebaki siku chache tu mxo afungashiwe virago, maana dogo hana akili anamvimbia baba yake wa kambo.

Ila mabuza muongo eti nuhu aliwaongoza wamisri kwenda nchi ya ahadi, kudadeki

Ayanda nae anataka kumkomoa dingi yake..
Naona sasa unacheka mpaka jino la mwisho mumeo karejea..
Bora angesema nuhu aliongoza wa Israel kwenda misri yani alienda OP kabisa , alisema nuhu aliongoza mafarisayo kwenda misri
 
Ha ha ha limabuza lilitisha sana hapo.... na ile physique yake ni kama muda wote limeshiba mno mpaka kusimama kwa tabu jamaa ni STUNT haswa... ngoja na mimi nitafute hela sana ili nipatage lapdog kama mabuza alivyo lapdog wa Gbashane
 
Mk kasalim amri kwa kaka yake sio kwa kipigo kile sai anaheshima debe ad sma anamshangaa(sasa sjui ni anafake au laa)
amandla anang'ang'ania kwenda kwa baba yake, smaa anamzuia lakn hasikii anaenda nyumban kwa ghabashe na kukutana na mke wa ghabashe,anatimuliwa ka mbwa na kutolewa nje...... bila kukata tamaa anaenda tena kazini kwa ghabashe na kukutana na zweli, zweli katika kumzuia amandla anatokea ghabashe na kwenda na amandla ofisini kuongea nae.. amandla anamwambia anatamani kujenga nae mahusiano kama baba yake ghabashe anamwambia hilo halitowezekana kwan yeye anafamilia kabla ajamaliza kuongea amandla kwa ghadhabu ananyanyuka na kuondoka
mama xulu anapokea majibu ya DnA na kushindwa kuamini alicho shuhudia
kama namuona mangcobo na muhaho wake.
 
Back
Top Bottom