Uzalo Special Thread

Mlio angalia leo tupeni uhondo angalau roho zisuuzike☺️
Mxo alimbamba nosi na masta ila akawasamehe na kuwaambia hela wzirudishe hivyo mxo akazirudisha kijanja chumbani kwa baba yake

Yule GC amakasirika banda ya wenzie kutomfanyia party ya kumuaga huko anakokwenda joburg kwa mpenzi wake kabakiza siku tatu

Xulu na mkewe wanakubaliana wawaite mdletshe family ili waongee ukweli mkewe anapinga kidogo ila baadaye anakubali..

Ayanda anapigiwa simu na mangcobo waende kwenye kikao, manzunza anadai ni bora wasiende kwamba xulu family wanataka wakawaue vizuri.. Mwishoni anakubali kwa kusita sita.

Ayanda anapewa bastola na mmoja wa wanachama wa kanisa na lile kundi la cpf, anakataa mwanzo ila anakubali, jamaa huyo amempa bastola ili akajilinde in case xulu akimshambulia.

Xulu anawakuta nosi, mxo na mkewe sebleni wakiwa wanamsubiri wasijue wameitiwa nini nae zweli anaingia anadai ana maongezi na xulu ya biashara. Xulu anasema baadaye ila anamwambia zweli asiondoke naye akae, zweli na nosi wanatetemeka pale xulu anapowataja wote..

Anadai kuwa familia zote mbili (ya zweli na ya kwake) zimepitia usaliti mwingi lakini hataji nani.. Kila mtu anajihisi...
 
Aseh imebamba sana. Shukrani☺️
 
ukweli ushajulikana.... mangcobo akiwa anazuga zuga kusema ukweli xulu akachukua uskani na kufunguka bila kuficha
xulu akamchana mxolisi kuwa nafasi uliyonayo(katika familia) siyo yako bali n ya ayanda...na mlibadilishwa hospitali mkiwa wadogo hivyo wewe ni wa Mdletche
mxo kapagawa ikabidi anyanyuke na kutoka nje huku Nosipho akiwa hajui nini chakufanya kwani alisha lala na nduguye(ayanda). Ni hayo niliyobahatika kuyaona.
brobiz
 
Nami nimehisi kupagawa kwake kwa kuwa keshalala na kaka ake wala
Sasa mxo atakuwa kaenda wapi?
 
maskini dogo mxo nimemuhurumia this time licha ya ujinga wake dogo alikuwa anampenda xulu tu sema ana kiburi
Future yake imeshapotea, anawaacha watu aliowazoea kwa miaka 25 dah.

Lindiwe alikuwa sawa, hakukuwa na haja ya kufanya haya jamani🙄🙄

Huyu malaya nosi sasa kaanza kukiona cha mtema kuni.. Cheers 😁😁😁🙌🏾🙌🏾
 
ugumu atakaopata kuukubali ukweli na huzuni anayoenda kupitia kipindi hiki yahitaji moyo... ni ngumu mnoo kwenda kuanza maisha na watu ambao akudhani ata siku moja ingetokea kuwa familia yake na kwa yote yaliyotokea baina yao duh yataka moyo 😞
Nosi nae ndio anamajanga yasiyo vumilika😥
 
mxo hajui afanye nini. ataanza vipi kuishi na manzunza na nkosi?

Huyu nosi achana nalo halina akili ndio matokeo ya kugawa hovyo
 
Haahahaa Pancho nimevutia picha maneno yako kwa sauti ya kibabe ulivyosema"Huyu nosi achana nalo halina akili ndio matokeo ya kugawa hovyo"🤣🤣🤣
Mxo anayo shughuli pevu
 
Ashaupenda umafia na utajiri
Na kanadharau sana
Haya alikuwa anamdharau Ayanda kumbe anaringia familia isiyo yake
ndio ajifunze sasa maisha kuna kupanda na kushuka... akome kabisa ngoja tuone kama ataendelea kua na hicho kiburi alichonacho
 
Back
Top Bottom