Uzalo Special Thread

Ahaa! Kumbe alishaujua ukweli, maana huku nilipo mitambo ya Tanesco wiki nzima ilikuwa likizo.
Eehh alimkuta yule mke wake anachoma yale makaratasi aliyokuwa nayo nombuso ndo ikabidi amwambie ukweli, wakati hu huo xulu ameshatoa order kwamba ayanda auwawe, hapo ndo alipochanganyikiwa na kuanza kumtafuta ayanda ndo mpka kama ulivyoona leo
 
Daah tupeni intro kidogo
nosi kashapewa uongo wa kitosha na zweli(kwamba alifanya vile kwakua hakua na pesa ya mazishi kwa ajili ya amandla) nosi kaamini na kwenda kuiba ela chumbani kwa wazaz wake na kumpelekea zweli....... ndipo kaka yake mxo akambamba kwani alikua akimfatilia
xulu akiwa bado anamtafta ayanda akaenda kwa manzuza na kumuuliza akaelekezwa kuwa yupo church akawah napo akamkosa
kumbe ayanda yupo shishanyama walipotoka kuelekea home kumbe magaid wanawafatilia wakiwa wapo nje wanapiga stor jambaz alietumwa akajikoki kumshoot ndipo xulu anatokea na kumwokoa ayanda na kisha kumuua yule gaidi aliyemtuma...
kwa mshuko wa risasi manzuza anatoka nje na kuuliza ni nini.. xulu anajitetea kusema kamuokoa ayanda..ayanda akahamaki na kusema mbona huyu ni kijana wako na umejuaje ananifatilia... akabaki kuomba kuongea na manzuza.... ila manzuza akagoma na kijifungia ndani na wanawe na kumuita dhlomo ndipo xulu akakabidhi silaha na kukiri kua yeye ndie alie shoot kwa nia ya kuokoa
 
jamani tupeni udambwi wa leo
je xulu amekamatwa? Ayanda kachapwa shaba?

Demu wangu na zweli wameishia wapi?
 
nosi kashapewa uongo wa kitosha na zweli(kwamba alifanya vile kwakua hakua na pesa ya mazishi kwa ajili ya amandla) nosi kaamini na kwenda kuiba ela chumbani kwa wazaz wake na kumpelekea zweli....... ndipo kaka yake mxo akambamba kwani alikua akimfatilia
xulu akiwa bado anamtafta ayanda akaenda kwa manzuza na kumuuliza akaelekezwa kuwa yupo church akawah napo akamkosa
kumbe ayanda yupo shishanyama walipotoka kuelekea home kumbe magaid wanawafatilia wakiwa wapo nje wanapiga stor jambaz alietumwa akajikoki kumshoot ndipo xulu anatokea na kumwokoa ayanda na kisha kumuua yule gaidi aliyemtuma...
kwa mshuko wa risasi manzuza anatoka nje na kuuliza ni nini.. xulu anajitetea kusema kamuokoa ayanda..ayanda akahamaki na kusema mbona huyu ni kijana wako na umejuaje ananifatilia... akabaki kuomba kuongea na manzuza.... ila manzuza akagoma na kijifungia ndani na wanawe na kumuita dhlomo ndipo xulu akakabidhi silaha na kukiri kua yeye ndie alie shoot kwa nia ya kuokoa.....
Nimeleta kwa Hisani ya Jagiya
 
nosi kashapewa uongo wa kitosha na zweli(kwamba alifanya vile kwakua hakua na pesa ya mazishi kwa ajili ya amandla) nosi kaamini na kwenda kuiba ela chumbani kwa wazaz wake na kumpelekea zweli....... ndipo kaka yake mxo akambamba kwani alikua akimfatilia
xulu akiwa bado anamtafta ayanda akaenda kwa manzuza na kumuuliza akaelekezwa kuwa yupo church akawah napo akamkosa
kumbe ayanda yupo shishanyama walipotoka kuelekea home kumbe magaid wanawafatilia wakiwa wapo nje wanapiga stor jambaz alietumwa akajikoki kumshoot ndipo xulu anatokea na kumwokoa ayanda na kisha kumuua yule gaidi aliyemtuma...
kwa mshuko wa risasi manzuza anatoka nje na kuuliza ni nini.. xulu anajitetea kusema kamuokoa ayanda..ayanda akahamaki na kusema mbona huyu ni kijana wako na umejuaje ananifatilia... akabaki kuomba kuongea na manzuza.... ila manzuza akagoma na kijifungia ndani na wanawe na kumuita dhlomo ndipo xulu akakabidhi silaha na kukiri kua yeye ndie alie shoot kwa nia ya kuokoa
Daah aisee
Ahsante
 
nosi kashapewa uongo wa kitosha na zweli(kwamba alifanya vile kwakua hakua na pesa ya mazishi kwa ajili ya amandla) nosi kaamini na kwenda kuiba ela chumbani kwa wazaz wake na kumpelekea zweli....... ndipo kaka yake mxo akambamba kwani alikua akimfatilia
xulu akiwa bado anamtafta ayanda akaenda kwa manzuza na kumuuliza akaelekezwa kuwa yupo church akawah napo akamkosa
kumbe ayanda yupo shishanyama walipotoka kuelekea home kumbe magaid wanawafatilia wakiwa wapo nje wanapiga stor jambaz alietumwa akajikoki kumshoot ndipo xulu anatokea na kumwokoa ayanda na kisha kumuua yule gaidi aliyemtuma...
kwa mshuko wa risasi manzuza anatoka nje na kuuliza ni nini.. xulu anajitetea kusema kamuokoa ayanda..ayanda akahamaki na kusema mbona huyu ni kijana wako na umejuaje ananifatilia... akabaki kuomba kuongea na manzuza.... ila manzuza akagoma na kijifungia ndani na wanawe na kumuita dhlomo ndipo xulu akakabidhi silaha na kukiri kua yeye ndie alie shoot kwa nia ya kuokoa.....
Nimeleta kwa Hisani ya Jagiya
upo juu sana mkuu
Huyu demu nosi kiukweli sielewagi akili yake nadhani anaongozwa na nyege tu
 
Back
Top Bottom