ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
t 2015 cdm, hiyo ya kwangu asiguse mtu
una hati ya kupigia kura? Umehamasisha ndgu zako kuwa na hati hiyo? Halafu mbona wanachelewa kuandikisha?
t 2015 cdm, hiyo ya kwangu asiguse mtu
no! Atakayewahi 2 anachukua.
naichukia chadema kama navyoichukia MALAWI
Walosema pombe noma hawakukosea angalia tu 2015 isikukute umezima kwa mbege ukaikosesha CDM kura buree!!!!Aiseeee baba yangu hakuna m2 anayeipenda cdm zaidi yangu wakitaka 2watolee damu nipo teyari kutoa yangu lita 3 kwajili ya viongozi kasoro kwa shibuda
ngoja nipige mbege ndio nikalime
Walosema pombe noma hawakukosea angalia tu 2015 isikukute umezima kwa mbege ukaikosesha CDM kura buree!!!!
naichukia chadema kama navyoichukia MALAWI
Ivi hakuna mambo mengine ya kujadili humu JF kwa ujenzi wa taifa letu kuliko kuendelea kujadili migogoro inayotafutiwa ufumbuzi?
Leteni mada za kitaifa na sio za kichama, hayo mambo ya vyama yakajadiliwe ndani ya vyama kwasababu issue imeshafika mahara pakeKuijadili ni sehemu ya kuitafutia ufumbuzi...
Hapa nakushauri urekebishe statement yako mkuu, siyo kwamba uzalendo umekuishia bali UMEUPATA UZALENDO ndo maana umeamua kuwa mwanacdm!