Uzalendo umeniishia: Sasa naipenda CHADEMA

Kuna vyama vingi vya siasa nchini lakni chadema imenivutia kutokana na utendaji wake makini ndani ya chama na nje ya chama
Haya ni yale yaliyo kwa upande wangu /kwa upande wake wapenda chama gani cha siasa na sababu za kukipenda ni zipi.
 
Wewe ndio wamekulaghai na hivyo kuamua kukiunga mkono chama cha wahuni, mafisadi, wauza waunga na magaidi. Sasa tumeamua kulivua gamba, thubutu wahuni na kulivua gamba wapi na wapi!!!!

Umelaghaika...
 
umekurupuka rudia kufikilia ulichokiandika ,yupi ni muuzaji unga kati ya ccm na chadema ,rejea orodha ya majina ya wauza unga utapata jibu
yupi mhuni kati ya hawa anaye torosha wanyama na anayetoa siri za utoroshwajh huo .jfikirie kisha unijuze.
 
umekurupuka rudia kufikilia ulichokiandika ,yupi ni muuzaji unga kati ya ccm na chadema ,rejea orodha ya majina ya wauza unga utapata jibu
yupi mhuni kati ya hawa anaye torosha wanyama na anayetoa siri za utoroshwajh huo .jfikirie kisha unijuze.

Nachojua BAK amemjibu ZeMarcopolo na sío wewe...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
umekurupuka rudia kufikilia ulichokiandika ,yupi ni muuzaji unga kati ya ccm na chadema ,rejea orodha ya majina ya wauza unga utapata jibu
yupi mhuni kati ya hawa anaye torosha wanyama na anayetoa siri za utoroshwajh huo .jfikirie kisha unijuze.

Kiongozi,

Fanya kazi kwa bidii. Kama moyo wako umejaa mapenzi, bora uwapende FM Academia. Hiki chama cha chadema ni biashara ya watu. Utaishia kujilaumu bure. Usikubali kulaghaika...
 
Nakuunga mkono mkuu, binafsi mpaka sasa nimeshawashi baba,mama,mjomba,mashangazi na ndugu wengine kuiunga mkono Chadema, na wameniahidi kura yao mwaka 2015 ni Chadema! Hakuna chama makini kwa mipango na mikakati kama hiki! Kuna rafiki yangu mwanaccm anasema yuko mbioni kujiunga na chadema! Karibu sana!
 
Huko wewe peke yako unayeishiwa uzalendo na CCM, kwa sasa ni ukweli usiopingika kuwa CHADEMA ndiyo inayogusa nyoyo za Watanzania wengi popote walipo.

Mfano juzi nilikuwa mjini Napoli, Italia ambao ni mji pekee nchini humo wenye tawi la CCM lakini wanachama wengi wa CCM hawataki tena kusikia ya CCM. Wamesema wazi kuwa wamechoshwa na CCM.

Ni jopu la uongozi wa tawi hili tu ndiyo labda wamebaki na mapenzi kwa chama tawala ambao hupatwa na kigugumizi wanapokutana na hoja za CHADEMA.

Kifupi CHADEMA ndiyo inayowavuta Watanzania wengi hapa ughaibuni na ndiyo inayoongelewa zaidi kwa hisia za kizalendo na mwamko wa kujiunga nayo. Watu wengi wamehamasika na CHADEMA.

Nasikitika kusema kuwa CCM haina watetezi.
Mkuu napoli ulipeleka unga
 
Mpaka sasa sijaamua kuwa na chama baada ya mambo flani kuingiliana, ila nina Kadi ya ccm toka 2003 nilikatiwa na Mzee wangu na nina Kadi ya Chadema toka 2010, ila mpk sasa niko njia panda ccm imeharibu mno ila kuna viongozi wachache kama wawili tu nawakubali kiutendaji na chadema naikubari kwakuwa inaipa changamoto Serikali
 
Hapa mwanasiasa wa kweli ni mchungaji Mtikila peke yake wengine wote waganga njaa tu
 
unaongelea mtikila kibaraka wa magamba? hata huku mahaha -magu wanaikubali chadema na 2015 hawadanganyiki tena
 
Mkuu tumakuunga mkono.

Ila ungesema umekataa kuendelea kuishi maisha ya kifisadi Na kinafiki na sasa umeamua kuwa mzalendo kwa kujiunga na Chadema-peoples' power
 
yatawakuta ya zimbabwe, hamtaamini macho yenu...thn huyo mnayempokea alikuwa mamlukia tu wa chama napo huko atakuja sema nahamia UDP....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom