MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,370
Kuna vitu mtu akiongea anaonekana ni fanatic kama sio lunatic...
kama maana yako ni kuwa aliyeweka hii thread ni Unamfananisha na hayo hapo juu "basi hujajitambua, uko Gizani" amka nawa uso.
Kuna vitu mtu akiongea anaonekana ni fanatic kama sio lunatic...
Kuna vitu mtu akiongea anaonekana ni fanatic kama sio lunatic...
Kuna vitu mtu akiongea anaonekana ni fanatic kama sio lunatic...
Kuna vitu mtu akiongea anaonekana ni fanatic kama sio lunatic...
Mtu kama wewe na usomi wako wote wa SAUT unapost ujinga,,kisa umeanza kutokwa na kitambi hakika udongo utakaokufukia uatabadilika rangi
![]()
Chadema ni kikundi cha wapiga dili (Mhe. Chris Lucosi)
Kwa sasa CCM wanasaka Droo
Kuna vitu mtu akiongea anaonekana ni fanatic kama sio lunatic...
Kama wewe kwenye mambo ya CCM, au hujajishtukia?
Daktari mzima unashinda humu, unatetea li system lililooza! Halafu unaona wenzako fanatics!!
Nyani haoni....
mkuu huwa upo active hapa jamvini mpaka nakutilia shaka
mkuu unaonekana una ghadhabu ya kungoa watu kucha na meno bila ganzi ila sasa hv tumewastukia na Lwakatare wenu sasa tunatembea na Ganzi yaan tukiwaona tu tunajichoma ganzi kabisa ili kuepukana na maumivu....