Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Nina umri mdogo sana lakini nahisi nina mapenz ya dhati kabisa na hiki chama_CHADEMA.Napitia posts nyingi sana kwenye jukwaa hili;wanaoipenda chadema kama mimi na wengine waliowapenz wa ccm,hali kadhalika hata wale wanafiki wanaodai wanaipenda chadema huku wakikipiga kijembe_lakini hata hvyo mimi binafsi sijabadilisha msimamo wangu,bado chadema ni chama changu hasa.
Kwa mara ya kwanza nilipotuma post yangu_descriptive post,nikieleza uhalisia wa Katibu na vile alivyo na moyo wa uvumilivu na upendo halisi kwa watanzania,nikilinganisha na mwanasiasa mashuhuri kutoka nchi jirani,Odinga Raila,kiukweli ninaamini kabisa katibu wetu anamapenz mema na nchi.Kuna baadhi ya wadau humu Jf,wakaniambia,mara ooh,dogo umri wako bado sana,soma kwanza,hadi wengne wakani Pm kunishauri niachane na siasa.Hakika nawapenda sana kaka zangu,dada zangu na wengne wote,lakini nipeni uhur na mimi mwanenu,mdogo wenu,nieleze hisia zangu,maana hali halisi inaonekana kiasi kwamba hata wale ambao hawakusoma,wanasoma alama za nyakati zilizoambatishwa na picha halisi za maisha ya watanzania chini ya utawala wa kibabe ajabu kusimulia.
Ndugu zangu,wadau wenzangu wanajf,pamoja na kuwa bado nipo shule,nashindwa kabisa kuizuia mihemko yangu juu ya mapenzi niliyonayo kwa Chadema,acha niwe muwazi.
Kwa jasho la mama yangu,hadi leo hii nasoma tena kwa shida,sasa je,ni lini mtoto wa mkulima atasoma kwa amani kama mtoto wa kiongozi? Hata kidogo sijutii kuwa chadema.
Mshairi mmoja nchini Marekani,kipindi cha harakati za kujikomboa(Harlem Rennaisance,Claude McKay alisema,"...like men,we'll face the murderes cowardly pack,pressed to the wall,dying but fighting back! Ni uamuzi mgumu sana lakhni pia inahitaji uzalendo wa hali ya juu sana kama ilivyo kwa Chadema.
Watanzania,hasa vijana wenzangu inatupasa tuamke,wasiojua kusoma tuwaonye hata picha.We have to be Role models so as to make a possible and conducive atmosphere for both residents in an inaugural country we live,to be happy.A group of real puritans with a support from majorities is needed.
Naipenda Chadema,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibaliki Chadema.
Ngoja wakutume kungoa watu kucha na meno halafu wakukane kama walivyomkana Ludo halafu kiiendelee kuwa chama chako