Uyu kaka ameniganda nataka nimuache

Uyu kaka ameniganda nataka nimuache

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
437
Reaction score
1,614
Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki.

Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!!

Nataka niachane nae nitafute ustaarabu mwingine!

Nifanye nini uyu kaka aniache mwenyewe ili niweze kuondoka kwa amani!! Naombeni ushauri ndugu zangu!!!
 
Sasa Hapo Utakuta Dereva Ni Undercover Na Halafu Utakuta Anasubiriwa Kwenye Kikao Kwa Hiyo Mimi Naona Huyo Mwanafunzi Aliyepewa Mimba Aendelee Na Masomo Chini Ya Uangalizi Wa Balozi Maana Haiwezekani Chadema Wasusie Uchaguzi Na Jumuiya Ya Umoja Wa Mataifa Uingilie Kati Wakati Tanzania Haina Urafiki Na Ufisaidi Hata Hivyo Tundulisu Alivyozuiwa Sudan Binafsi Sijapenda Hata Kidogo
 
Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki. Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!! Nataka niachane nae nitafute ustaarabu mwingine!! Nifanye nini uyu kaka aniache mwenyewe ili niweze kuondoka kwa amani!! Naombeni ushauri ndugu zangu!!!
njoo nikuzagamue hadi utoke kojo la maana halafu umtumie picha na video 'view once'
 
sio uyu ni huyu.

Unatuita ndugu zako wakati ndugu yetu unataka umuache..!!
Ni hivi baki na hilohilo jini lako huku nje kuna majini kama akina kenzy tunamakeke dada hautaweza kustahimili!. usimuache mvumilie ukimuacha unamuachia nani..?
 
Muache.

The Third Agreement - It says:
Dont Make Assumptions. "All the sadness and drama you have lived in your life was rooted in making assumptions and taking things personally"

Don't assume we know.

We donot know.

MUACHE, kisha kasome kitabu kinaitwa THE FOUR AGREEMENTS, kitakusaidia mleta sledi pendwa!. Kimo gugu kidanlod tu.
 
Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki.

Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!!

Nataka niachane nae nitafute ustaarabu mwingine!

Nifanye nini uyu kaka aniache mwenyewe ili niweze kuondoka kwa amani!! Naombeni ushauri ndugu zangu!!!
Mpe mkundu atakuacha
 
Kama futari imekosa chai basi nitasukumizia na bia
IMG_1007.jpeg
 
Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki.

Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!!

Nataka niachane nae nitafute ustaarabu mwingine!

Nifanye nini uyu kaka aniache mwenyewe ili niweze kuondoka kwa amani!! Naombeni ushauri ndugu zangu!!!
usifanye betting ya mapenzi pls, JF huwezi pata ushauri kwa sababu hatujui kwa nini haumtaki tena:PresidentSleeper:
 
Muombe sana hela, tena hela ambayo inazidi uwezo wake,,,, akukupa Leo, kaa siku 3 omba tena,,,,, omba hela mpaka achanganyikiwe
 
Tafuta mtu uzagamuane nae mbele yake, ataondoka na hatorudi tena.

Ukitaka wa kuzagamuana nae mimi nipo, tutafanya mastaili hayo, akitukututa lazima akahoji uanaume wake.
Inaeza ikasababisha tabu nataka nitoke bila tatizo!! Kuna mda anasema atajiua nikimuacha!!!
 
Back
Top Bottom