Uwoya: Nitazaa mpaka basi

Nyundo Kavu

Senior Member
Dec 6, 2011
186
85
IRENE Uwoya anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kusema kuwa mbali na mwanaye Krish, yupo tayari kuzaa mpaka basi hata kama watafika watoto 10.
Akizungumza na The Biggest IQ Paper, Ijumaa Wikienda, jijini Dar es Salaam juzikati, Irene alisema kuwa hakuna kitu anachopenda kama kuitwa mama kila wakati akiwa na mtoto mchanga.
Irene alisema Krish anahitaji wadogo zake na kwa kuwa bado anatamani kuzaa, ni ishu ya muda tu kwani anapenda watoto.
Irene alikwenda mbali zaidi na kudai kuwa kuna wakati baadhi ya watu walidhani mapenzi yake kwa Ndikumana yamehamia kwa mtoto kutokana na kumjali zaidi kuliko kitu kingine chochote.

UWOYA: NITAZAA MPAKA BASI - Global Publishers

Hahahahahaaa kwani madakitare si wanasema kwamba kijifungua kwa kisu mwisho mara 3? Sasa hao kumi watatoka wapi? Si nasikia kwamba kwa njia ya kawaida hawezi kujifungua coz dubai(kazoea kujiexpres herself) washakuaribu!!
 
King

Una maana bint anafumuliwa nyuma?
 
ni kweli hayo usemayo uwoya mbona inasemekana Krish analelewa na bibiye na wewe mamaye unaishi kwingine????
 
Hahahahahaaa kwani madakitare si wanasema kwamba kijifungua kwa kisu mwisho mara 3? Sasa hao kumi watatoka wapi? Si nasikia kwamba kwa njia ya kawaida hawezi kujifungua coz dubai(kazoea kujiexpres herself) washakuaribu!!

Jamani wewe!
 
Back
Top Bottom