Uwiiii najilipua kila siku

Uwiiii najilipua kila siku

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,685
Reaction score
983
Waungwana tangu nije dar nimepata ugonjwa wa ajabu tadadhali waelewa naombeni msaada
 
Ungeenda kusaidia kulipuka kwa M23 ungesaidia sana taifa.
 
Unatumia shield au unajilipua kavu kavu bila ngao na umeaga kwenu
Kongosho habari za kwako msalimie na Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Unatumia shield au unajilipua kavu kavu bila ngao na umeaga kwenu@kongosho habari za kwako

najihami kwa mbali ila na iman dhaifu vitani so natumia milipuko tu mikubwa na midogo
 
Kujilipua si kuzuri maana hukawii kupata addiction kisha miaka michache ijayo kurudi tena jamvini na kuanza kulalama kwamba ulikuwa unajilipua sana na matokeo yake zile shughuli haziendi kama ambavyo ungependa.

CC: MziziMkavu
 
Huyo inaonekana ni kutokuelewa maana hata alichokiandika hakielewi
Atakuchosha!!!!!!!!

watu wanaelewa si wewe ndio upo sayari ya kawaida hunielewi!
 
Jilipue tuu! Magari ya zima moto yapo ila hayana maji!so take care!
 
Kujilipua si kuzuri maana hukawii kupata addiction kisha miaka michache ijayo kurudi tena jamvini na kuanza kulalama kwamba ulikuwa unajilipua sana na matokeo yake zile shughuli haziendi kama ambavyo ungependa.

CC: MziziMkavu
Mwachi ajilipuwe magari ya zima moto yapo siku hizi na hospitali Ma-Daktari wapo jilipuwe Mkuu.@scatter sasa unajilipuwa ki kike kike au Kiume Ume?
 
najihami kwa mbali ila na iman dhaifu vitani so natumia milipuko tu mikubwa na midogo

Unajihami kwa mbali?
Imani dhaifu
Mbona ni against rules za military
Ukiingia vitani unatakiwa Uwe full equipped bila kuacha hata kimoja
Sasa wewe unaacha shield Nyuma na unaenda vitani hapo jua kuwa kulipukiwa kuko nje nje
 
Back
Top Bottom