Uwiiii najilipua kila siku

Uwiiii najilipua kila siku

Unajilipua wakati kambi zipo tele. Shauri zako mwisho utabaki na kamba kama yakufungia kuni sijui utalia na nani.

hehehe Kambi si mpaka uitafute jamani, otherwise kujilipua inakuwa rahisi zaidi. Wengi wanakimbiliaga kwa ma house girl. Wanawapata kirahisi kwa kuwa wao ndio watoto wa boss ila kama home hakuna maid full kujilipua . Yanaitwa madomo zege
 
kwahyo wewe data sazote unaruka na watu hapa ulidhan anamaanisha nn?
 
Last edited by a moderator:
kwahyo wewe data sazote unaruka na watu hapa ulidhan anamaanisha nn?

jamaa wa ajabu kweli... Anaharib maana ya hlo neno 'kujilipua'..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom