nisaidie nitoke kwenye hii ngome nataka mawazo na tiba pia ya majeraha
tatizo watu wa dar ni maadui kidigital
Hata mimi pia naona kama jina lake lilivyo,linafafanua uelewa wake...Huyo inaonekana ni kutokuelewa maana hata alichokiandika hakielewi
Atakuchosha!!!!!!!!
samahani ndugu yangu kama unahitaji msaada inabidi ujieleze vizuri na ujibu watu kwa ustaarabu na heshima,USTAARABU NI KITU CHA BURE,kumbuka hapa kuna watu wa rika tofauti na wanatumia muda wao na busara zao kutaka kukusaidia kwahio FUNGUKA UELEWEKE...ubongo wangu unaset mind ya milipuko!
Hata mimi pia naona kama jina lake lilivyo,linafafanua uelewa wake...
samahani ndugu yangu kama unahitaji msaada inabidi ujieleze vizuri na ujibu watu kwa ustaarabu na heshima,USTAARABU NI KITU CHA BURE,kumbuka hapa kuna watu wa rika tofauti na wanatumia muda wao na busara zao kutaka kukusaidia kwahio FUNGUKA UELEWEKE...
Kama nimeelewa sahihi una matatizo kwenye kichwa chako PSYCHOSIS?AU KUNALIPUKAJE HUKO KICHWANI?
Waungwana tangu nije dar nimepata ugonjwa wa ajabu tadadhali waelewa naombeni msaada
Ahaaa sasa nimekuelewa..Hili suala limeshazungumziwa sana kule JF DOCTORS ngoja nikutafutie uzi nikuunganishie usome...tatizo ni masturbation nimekuja dar ndio imezidi!
TAHADHARIIIIIII!!!!!!!!!!!! HABARI IFUATAYO NI CHAFU SANAAAAAA! READ AT YOUR OWN RISK!!!!!!!!!
Ujue mimi nashinda kariakooo basi lugha chafu chafu!!!!!!!! Na elimu ya firauni yapatikana pale! Wale wa shetani wamegundua njia mpya ya kujilipua toka china!!!!!!!!!!!! Ni balaaaaaa nasikia!!!!!
Chukua mfuko wa rambo, ule wa mlaini, daka nzi watatu, watie kwenye mfuko ule, afu uubane ule mfuko na wale nzi ndani kwenye bomu na utrap hewa ndani afu ukaze hewa isitoke wala kuingia!!!!!!! Waambiwa nzi wale watashindwa kutua kwenye mfuko ule, na ile CO2 watalazimika kuzunguka kwa kasi na pressure kubwa kwenye bomu, ecstasy yake ni balaaa!!!!!!!! Waambiwa waweza kimbia nje bila nguo ukazama barabarani bila suruali kama chizi!!!!!!!! LOL!!!!!!!!
MIMI SIMOOOOOO! NIMESIKIAGA MWEEEEEEE!!!!!!!!!!
Samahani swali moja la ziada,ni mwanamke au mwanaume?ahsante!