Uwiiii!! eti mjeshi analia.

Uwiiii!! eti mjeshi analia.

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2009
Posts
1,195
Reaction score
232
802764-111223-kim-jong-il-mourning.jpg



Hii ni N. Korea. Hivi mjeshi anapolia je raia wa kawaida inakuaje?
 

Attachments

  • ngeleja.jpg
    ngeleja.jpg
    8.4 KB · Views: 129
hawa raia sijui wamepewa nini mpaka masoja wanalia vile
 
Mi pia nashangaa sana wanavyolia nchi nzima wanalia kwa uchungu sijui imekuaje,mbona nchi nyingine haipo
 
hao ndio wapo karibu na mrija kama hamjui
Kweli, na pia kwa kuwa wamekua wakifahamu kuwa Rais wao ndiye mtabe kuliko USA na wamagharibi, kama sisi tulivyokuwa tunaelezwa juu ya Idd amini dada na comredi Gaddafi.
 
ni wadamu tu. wanatumia damu si petrol..
Kulia,kucheka, tabasamu, kasirika mambo ya
kawaida tu .....
 
hawa hawafanyi sanaa kweli, kama walivyokuwa wanafanya wafuasi wa Rostam siku alipoamua kuachana na siasa UCHWARA ZA CCM?
 
Kuna nchi moja ikija tokea raisi wao kafariki wanaweza kesha wakicheza kiduku...........
 
Back
Top Bottom